Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

Ni aibu mtu mzima kuhamasisha wanawake watumie tendo la ndoa ambalo ni haki za waume zao kuhamasisha waume wawaunge mkono wagombea wa sisiyemu.Kwa upande mwingine wa shilingi it means ikiwa hao wanaume hawatakuwa tayari hao wanawake waanze kuwakataa simply hawamtaki Samia au huyo Mwinyi.Muda si mrefu mtaua taasisi ya familia kwa uroho wa kuendelea kutawala
 

Mpuuzi tu huyo chawa. Sasa hapo ana maana gani?🤣😆
 
Kichwa cha habari kiboreshwe, wake zetu hawatupi ngono, Bali tendo la ndondo. Na liheshimiwe. Ngono NI zile za mtaani. Sawa?
 
Hapa akili za ccm zilipofikia, no wonder nchi haiendelei jamani
 
Ndio akili ya viongozi wa CCM tulio waamini kama wana akili kumbe mabuyu
 
Kichwa cha habari kiboreshwe, wake zetu hawatupi ngono, Bali tendo la ndondo. Na liheshimiwe. Ngono NI zile za mtaani. Sawa?
UMesema ukwrli ila shida si unajua ccm akili zao zimejaa ngono ndio maana wanashindwa kutofautisha kati ya ndoa na uasherati
 
Ngono wanafanya watu wasioowana,

Watu walikokuwa kwenye ndoa wanafanya tendo la ndoa sio ngono
 
Hawa ndiyo wanawake mliosema wakiwezeshwa wanaweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…