ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Mbowe gaidi linapaswa lihukumiwe kunyongwa mpaka kufa kabisa na mzoga wake upewe fisi wa hai. Mpaka siku atakapoomba msamaha juu ya dhihaka yake kwa Dkt Magufuli he will never settle huyu kengeza mpuuziMbowe alipewa kesi ya ugaidi julai 2021, serikali iliyokuwa madarakani ni ya Samia. Samia huyo huyo akaifuta kesi baada ya kuona Mbowe atashinda na itakuwa aibu kwa serikali.
Huyu ndiye aliyesababisha umwagaji damu Arusha muwe mnatunza kumbukumbu vizuri ili tuje kupeana hukumu ya haki.
Sasa asidhani watu wamesahau, damu za watu zinamlili na zitamuandama mpaka kaburini.[emoji419][emoji375]Huyu ndiye aliyesababisha umwagaji damu Arusha muwe mnatunza kumbukumbu vizuri ili tuje kupeana hukumu ya haki.
Mary Chatanda alikuwa ni mbunge vitu maalum anatoka Korogwe Tanga, kimsingi baraza la madiwani analopaswa kuingia ni la Korogwe.
Baada ya Ccm Arusha mjini kuzidiwa column na madiwani wa Chadema ni wazi meya lazima atoke Chadema ndio from no where kwenye uchaguzi wa mega akatokea huyu mshirikina Mary Chatanda akatangazwa ni mjumbe wa baraza la madiwani Arusha wakati ubunge wake smeupatia Korogwe Tanga.
Muuwaji yaliyotokea Arusha mjini na damu zilizomwagika huyu mshirikina hazitomuacha Salama, ni swala la muda.
Nilishangaa sana kusikia eti Mary Chatanda ndio amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa wanawake wa Ccm, inasikitisha sana.
Sasa asidhani watu wamesahau, damu za watu zinamlili na zitamuandama mpaka kaburini.
Watu kama Mary Chatanda wakifa Mimi kwangu ni sherehe nanunuwa maini na kufunguwa Champagne kabisa.
Acha dhihaka na maumbile ya mtu.mjinga wewe.Tupo kamili gado mwana, tunawazoom tu. Sisi ndiyo chama la nguvu. Kengeza wenu ni kichaa kabisa
Mbona hamkumfunga sasa kama alikua gaidiMbowe gaidi linapaswa lihukumiwe kunyongwa mpaka kufa kabisa na mzoga wake upewe fisi wa hai. Mpaka siku atakapoomba msamaha juu ya dhihaka yake kwa Dkt Magufuli he will never settle huyu kengeza mpuuzi
Hivi kweli watu wakiwaona mpo empty kichwan still mtaona mmeonewa? Kweli hii ni kitu ya kuongea public toka kwa mwenyekiti? Anamu address vp Rais juu ya kumtoa gerezani gaidi tena personal bila hukumu ya Mahakama? Kweli vetting ni muhim but ni nan wa kufanya hiyo vetting? Jibu ni hakuna!!
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao
"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."
Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.
Chanzo: Jambo TV
Hivi kilichomtoa mbowe gerezani ni Raisi au ni Sheria za nchi?

Upuuzi wa ccm kama kawaida yao. Hawana jipya
Ujinga wa kiwango cha PHD, kwa hiyo kumtoa ilikuwa ni corruption. ?

Hoja ndo hizi kwa sasa? Huu mkataba utupilieni tu mbali ili msiendelee kuchanganyikiwaMbowe gaidi linapaswa lihukumiwe kunyongwa mpaka kufa kabisa na mzoga wake upewe fisi wa hai. Mpaka siku atakapoomba msamaha juu ya dhihaka yake kwa Dkt Magufuli he will never settle huyu kengeza mpuuzi
Halafu wanashangilia UONGO, ...pwaa pwaa, pwaaa...!.....amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli
Kabisa. Kila mtu msemaji