Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli

Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao

"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."

Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.

Chanzo: Jambo TV
Rais anaongoza mhimili wa serikali au mahakama?
 
Hivi Mbowe aliwekwa mahabusu kipindi cha Magufuli au Samiah?. Mwambieni huyo mama asiwe muongo.
 
Mbowe gaidi linapaswa lihukumiwe kunyongwa mpaka kufa kabisa na mzoga wake upewe fisi wa hai. Mpaka siku atakapoomba msamaha juu ya dhihaka yake kwa Dkt Magufuli he will never settle huyu kengeza mpuuzi
Unaujua ugaidi? Stress zitakuua
 
Mbowe gaidi linapaswa lihukumiwe kunyongwa mpaka kufa kabisa na mzoga wake upewe fisi wa hai. Mpaka siku atakapoomba msamaha juu ya dhihaka yake kwa Dkt Magufuli he will never settle huyu kengeza mpuuzi
Acha upumbavu. Unamtukana mtu kisa maumbile yake. Mungu adhihakiwi.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli

Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao

"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."

Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.

Chanzo: Jambo TV
Chawa
 
Huyu mama mwambieni aache uongo Mh Mbowe hakukamatwa na kufungwa gerezani wakati wa utawala wa Magufuli. Alimkamata huyu huyu aliyepo sasa hivi tena mwezi wa saba 2021 mbona ninyi CCM mnamsingizia Dr JPM? Mlaaniwe ni vizazi vyenu kwa chuki zenu
 
Ana akili fupi sana, pili mahakama ilimkuta Mbowe hana hatia na sio Samia kumto, atuachie upuuzi

Pia, mtu kukufanyia jema haimaanishi akifanya ujinga ushindwe mwambia

Hapa ndipo nazidi kujenga picha ya viongozi wetu, mtu akiwa kiongozi hawezi kemea uovu kisa hataonekana mwenye shukran ya uteuzi, hapa kweli tutegemee kutoboa kama taifa kweli?

Tujifunzeni Malaysia [emoji1157] , CCM NA JUMUIYA ZAKE NI SHIT
Mahakama gani ilimhukumu Mbowe? Acha upotoshaji
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli

Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao

"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."

Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.

Chanzo: Jambo TV

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashaka na Uoga!
 
Nawaonea huruma familia yake kuwa na limama jinga na lisilo na kumbukumbu kiasi hiki. Ila hawa ndio chawa pro max wa bi tozo wanafanana vichwani.
 
Siku Watanzania tutayokuwa na akili, ndipo tutapoweza jikwamua toka kwenye umaskini...
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli

Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao

"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."

Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.

Chanzo: Jambo TV
Yaani kesi umbambike, umtie gerezani, halafu atoe shukrani?
 
Mbowe gaidi linapaswa lihukumiwe kunyongwa mpaka kufa kabisa na mzoga wake upewe fisi wa hai. Mpaka siku atakapoomba msamaha juu ya dhihaka yake kwa Dkt Magufuli he will never settle huyu kengeza mpuuzi
Naomba yaarabbi akujalie kilema chá maisha kwa sababu ya dhihaka unayoifanya.

Alikugaidia mama yako alipotaka kumgonga ndio ukasema ni gaidi?
 
Back
Top Bottom