Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Nadhani asilimia kubwa ya hizi drones zitakuwa intercepted nje ya Israel kama sio zote
 
Iran imesema itashambulia nchi yeyote itayoruhusu anga lake kutumiwa na Israel.
Syria
Iraq poleni sana
Hapo sasa ndio patakuwa patamu watamgawana ayatollah kama nyama
 
Hawa Syria wanatafutwa kubondwa, hizo Pantsir wanazo siku zote lakin still wanachezea kichapo kila Leo

⚡#BREAKING Syria puts on high alert its Russian-made pantsir ground-to-air defence systems around capital and major bases, army sources say — Reuters
 
Back
Top Bottom