Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Ndege za mashirika ya Ulaya ziliona mapema zikasitisha safari jana ili yasijekuwa kama ya Urusi kubaki na mdege
 
Ohoooooo!!!!

⚡#BREAKING Netanyahu convening Israeli war cabinet at military headquarters in Tel Aviv, PM's office says — Reuters
 
Hawa Syria wanatafutwa kubondwa, hizo Pantsir wanazo siku zote lakin still wanachezea kichapo kila Leo

⚡#BREAKING Syria puts on high alert its Russian-made pantsir ground-to-air defence systems around capital and major bases, army sources say — Reuters
Huyu lazima apigike ili iwe rahisi kumpiga Iran, maana ili Israel ashinde kwa kiasi ni lazima azame hadi ndani
 
[emoji1137][emoji1258][emoji1134][emoji1130][emoji298]️Jordan has opened its airspace to Israeli Air Force fighters.

Together with American aircraft, they are intercepting Iranian drones.
 
Vita ni hesabu anachokifanya Irani no kutia hasara yeye anarusha kadrone thamani ya 2000$ wewe unakitungua Kwa missile yenye thamani ya 2 million dollar
 
Iran wamefunga anga na Israel kafunga lake
Nachungulia habari zote za Dunia sasa naangalia RT
Iran hata wakifunga F35 za US na IDF zote ni Steath zitaingia hadi chumbani kwa Ayatolah bila ya yeye kustuka.
 
Wanasema drone zaidi ya 250 zimetumwa uelekeo wa Israel.
Je Israel ataweza jilinda?

Iran ana uwezo wa kushambulia hata kwa drone 10000 ndani ya siku 1
Israel hana huo uwezo wa kuzuia
 
[emoji1137][emoji1258][emoji1134][emoji1130][emoji298]️Jordan has opened its airspace to Israeli Air Force fighters.

Together with American aircraft, they are intercepting Iranian drones.
Je Iran ataipiga Jordan kwa kuruhusu anga lake kutumika?
 
Back
Top Bottom