uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Israeli attack lebanon now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu wanashirikiana ikija kwenye dini tu,irani ni Shia Jordan ni Sunni hawawezi kushirikiana, Jordan anamuona Iran kama kafir tu.Kama ni kweli basi Jordan washenzi Sana waarabu wanatakiwa washirikiane angali wazungu wanavuosaidiana kuwaangamiza waarabu
Mkuu Why is Israel attacking Lebanon?Tayari Israel imerusha ndege ndani ya Joradn baada ya kupewa kibali, pia kwa sasa inaelekea Syria
Ayatolah anaondoka kama alivyoondoka Saddam.Mkuu vita sio kama mnavyofikiria
Hii mechi imekosa mkeka tu[emoji23]Watu hawalali utafikiri wanafuatilia mechi ya world cup
Kama una weza zama stock market ya airline Yao, uki save hata hisa 50 ni 🔥🔥Yaani tunangalie rate exchanges kesho
Iraq nae kafunga Anga lake hakuna Guta nyingine za Ayatolah zitakazopita😂Kama ni kweli basi Jordan washenzi Sana waarabu wanatakiwa washirikiane angali wazungu wanavuosaidiana kuwaangamiza waarabu
Hapo zama stock market ya soko la mafuta na usafiri wa anga.Yaani tunangalie rate exchanges kesho
That's bad,uzuri hezbollah hana nguvu sana,so hawezi kumtoa Israel mchezoniHezbollah wanajiandaa kurusha vitu vyao