Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

BREAKING: A senior US official told ABC News they now think there will be "anywhere from 400 to 500 drones and missiles launched at Israel from Iraq, Syria, southern Lebanon and the Houthis", but that the bulk will be launched from Iran.
Umeona ilivyo, hata Urusi hajawahi mrushia Ukraine kiwango hicho toka vita imeanza.
Hawa maadui wa hapo kati hawapendani
 
Mashambulizi haya ya Iran hayatamwacha salama Israel, lazima atapigwa ila naye atajibu haswa
Labda Balistic misile zinaweza kufika hizi drone bado sijaziamini, speed yake ni ndogo,inatoa time ya watu kujiandaa
 
[emoji1137][emoji1258][emoji1134][emoji1130][emoji298]️Jordan has opened its airspace to Israeli Air Force fighters.

Together with American aircraft, they are intercepting Iranian drones.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hizi habari zako zinafanana na zile za Ukraine kwamba wamelipua Magari 400 ya Urusi.
 
Mashoga yali ogopa nini kuifanya Israel kuingia NATO
 
Breaking News:Ayatolah kapelekwa kwenye Handaki kufichwa.
 
Back
Top Bottom