Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Juzi kati gps ya ndege ya waziri wa ulinzi wa UK ilikuwa jammed, hii ni version ipi?
GPS za Marekani zikom controlled kutoka Shriver AFB Colorado. Pale kuna timu inayomonitor operations za satellites zote na wakati wa military operations huwa wanabdilisha frequencies kila baada ya dakika 12. Iwapo ndege ya wazir wa Uingereza siyo ya kijeshi haiwezi kuwa chini ya control ya Shriever AFB.
 
Mkuu Iran sio waaarabu.
Umenielewa,sio waarabu ndio ila tukisema nchi za kiarabu au mashariki ya kati, Iran is included... sometimes neno la nchi za kiarabu tunamanisha nchi za kiislam,ingawa iran ni Shia,kama kuna nchi itamsaidia Iran basi ni zile za mlengo wa Shia na itategemea hizo nchi zimekaliwa kooni na Marekani kwa kiasi gani!
 
Iraq napo wameanza mashambulizi uelekeo Israel
Hivyo pande 4 zote zinashambulia kwa wakati mmoja.

Hili swala lishakuwa gumu sana
Ni Iraq inashambulia Israel or ni vikundi vilivyopo Iraq?
 
Sio rahisi hivyo,Ayatolah atatolewa na Wa Iran wenyewe through Coup
Iran wanaishi kwa nguvu ya huyo Ayatollah yaani wanaogopa sana maana wanasiasa wanaojaribu kwenda kinyume wanamalizwa kimya kimya
Ayatolla ana power haswa na wanamlinda kama imam wao
 
Back
Top Bottom