Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

BREAKING: US officials have 'no doubt ISRAEL WILL RESPOND whether lives are lost or not' and that 'IRAN itself will be TARGETED.'
 
Iran now ana kiburi ni sababu ana nuclear tayari ndio maana haogopi tena. nje anasema anaomba aruhusiwe lakini ukweli ni kuwa analo tayari. ndio maana us yuko busy kuhakikisha jambo linaisha kwa amani. sema ndio hvy tena yai lishapasuka. now namuonea huruma zaidi ukraine maana waume zao watahama silaha wapeleke huko kwa Nyau..
 
Mpaka sasa tumeona IRAN kweli kaamua liwalo na liwe mm nilidhani IRAN atoshambulia
Ila kwa hali ya sasa huko MIDDLE EAST
Tutalajie ugumu wa maisha zaidi
Ila itajibiwa vikali lakini nadhani ili litakuwa
Fundisho kubwa kwa WAYAHUDI kila jambo lina mipaka yake US haiwezi kuazisha VITA vya kibwege kama alichoazisha NETANYAHU kwa IRAN
siipendi ISRAEL lkn hii VUTA itakuwa mwiba mchungu sana kwetu sisi MATAIFA DUNI hasa huku upande wa AFRCA
kwa masaa mawili tu nenda STOCK EXCHANGE uone mabadiliko yalivyo
Kwa kweli AMANI ya DUNIA sasa inapotea
Ni US pekee ndo ataamua hii vita pindi atakapokubari kuwa ISRAEL imevuka mstari amabao hakutakiwa kuvuka
Ukweli mchungu huu
 
IDF tracking more than 100 drones already heading to Israel from iran
 
Dunia imechangamka sana,
Bado Congo na Rwanda
 
Amani hutafutwa kwenye vita we mtanganyika

Bila vita ya pili ya dunia kusingekuwa na amani uliyonayo sasa

Historia inaonyesha binadamu anapokuwa satisfied huwa lazima apigane
Mpaka sasa tumeona IRAN kweli kaamua liwalo na liwe mm nilidhani IRAN atoshambulia
Ila kwa hali ya sasa huko MIDDLE EAST
Tutalajie ugumu wa maisha zaidi
Ila itajibiwa vikali lakini nadhani ili litakuwa
Fundisho kubwa kwa WAYAHUDI kila jambo lina mipaka yake US haiwezi kuazisha VITA vya kibwege kama alichoazisha NETANYAHU kwa IRAN
siipendi ISRAEL lkn hii VUTA itakuwa mwiba mchungu sana kwetu sisi MATAIFA DUNI hasa huku upande wa AFRCA
kwa masaa mawili tu nenda STOCK EXCHANGE uone mabadiliko yalivyo
Kwa kweli AMANI ya DUNIA sasa inapotea
Ni US pekee ndo ataamua hii vita pindi atakapokubari kuwa ISRAEL imevuka mstari amabao hakutakiwa kuvuka
 
Kikinuka msije kulialia nakumbuka mlivyokuwa mnasema Scud za Saddam ni kiboko baadae akaja kubambwa kwenye Shimo na kunyongwa siku ya Iddi.

Ayatolah nae atanyolewa Ndevu kabla ya kunyongwa ili akienda kwa Mabikira zake aende amependeza.
Time will tell, Ila punguza mahaba
 
Watu wake wanasema akimalize Kikundi cha Magaidi wa Hamas na sasa Ayatolah nae kajitokeza hadharani Wananchi watamuunga mkono.
Hasira za Iran ni kuuwawa kwa watu wake ubalozini kwa makusudi
Naona ndege za UK zimeruka toka Uturuki ku intercepted drones za Iran
Ila ngoja tuone maana houthi pia na Lebanese wametuma pia
Waisrael hawataki vita majority maana ni msukosuko kwao
Unajua kuna raia wengi wanaishi hotel wamekatazwa kurudi makwao na hawana uhuru huku serikali ikiwahudumia?
 
Amen Amen, God of Ibrahim, Isaac and Jacob is alive, Jehovah Nissi atawatetea, Mungu wa Israel mwaminifu ashikaye agano atawatetea, Mungu anakumbuka agano na mtumishi wake David, Israel itashinda katika jina la Yesu Kristo
Taifa la Mungu linaloruhusu ushoga?mimi ni mkristo lakini sio mkristo mjinga hii Israel ni taifa ovu tu kama Marekani au uingereza sio taifa la Mungu kwa sababu wanaruhusu machukizo ya kishetani kila uchafu wanaruhusu.dont be brainwashed.
 
Iran now ana kiburi ni sababu ana nuclear tayari ndio maana haogopi tena. nje anasema anaomba aruhusiwe lakini ukweli ni kuwa analo tayari. ndio maana us yuko busy kuhakikisha jambo linaisha kwa amani. sema ndio hvy tena yai lishapasuka. now namuonea huruma zaidi ukraine maana waume zao watahama silaha wapeleke huko kwa Nyau..
Hilo la Iran kuwa na nuclear hata mie nafikiri analo maana sio kwa kiburi hicho cha kutishia kufunga straight of Hormuz.
 
Back
Top Bottom