Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Iran will bear the consequences for choosing to escalate the situation any further- IDf spokesperson
 
Iran imetoa Video ikionesha urushwaji wa Ballistic missile.
 
Mpaka sasa tumeona IRAN kweli kaamua liwalo na liwe mm nilidhani IRAN atoshambulia

Ila kwa hali ya sasa huko MIDDLE EAST
Tutalajie ugumu wa maisha zaidi
Ninajua fika IRAN itajibiwa vikali
lakini naye ataacha maumivu makubwa yasiosahaulika
lakini nadhani ili litakuwa
Fundisho kubwa kwa WAYAHUDI kila jambo lina mipaka yake US na ubabe wake lkn haiwezi kuazisha VITA vya kibwege kama alichoazisha NETANYAHU kwa IRAN

siipendi ISRAEL lkn hii VITA itakuwa mwiba mchungu sana kwetu sisi MATAIFA DUNI hasa huku upande wa AFRCA
kwa masaa mawili tu nenda STOCK EXCHANGE uone mabadiliko yalivyo
Kwa kweli AMANI ya DUNIA sasa inapotea
Ni US pekee ndo ataamua hii vita pindi atakapokubari kuwa ISRAEL imevuka mstari amabao hakutakiwa kuvuka kabisa
 
Tumekubaliana Now ni muda wa kurusha Drone...

Majibu yetu msije lia kuwa sisi ni wakatili
 
BREAKING: Iran launches first wave of ballistic missiles against Israel - state news agency
 
Marekani imesema kuwa Israel itaishambulia Iran muda wowote kuanzia sasa,
 
BREAKING: US officials have 'no doubt Israel will respond whether lives are lost or not' and that 'Iran itself will be targeted', according to ABC News.
 
BREAKING: Iran launches first wave of ballistic missiles against Israel - state news agency
Leo ni hatari, hata Urusi angetumia hii njia angekuwa anakula kuku Kyiv
 
Unafikiri Iran ni gaza, Iran anazo long range warning radar na anga lake Lina ulinzi mkubwa sana, anazo mifumo ya makombora ya ulinzi wa anga ambapo ukitoka s 300 ya mrusi zilizobakia katengeneza mwenyewe ndio maana mwaka 2019.
Kikinuka msije kulialia nakumbuka mlivyokuwa mnasema Scud za Saddam ni kiboko baadae akaja kubambwa kwenye Shimo na kunyongwa siku ya Iddi.

Ayatolah nae atanyolewa Ndevu kabla ya kunyongwa ili akienda kwa Mabikira zake aende amependeza.
 
Israel expects Iranian missiles & UAVs to target military sites in Golan and Negev Desert, NYT reports.
 
BREAKING: US officials have 'no doubt Israel will respond whether lives are lost or not' and that 'Iran itself will be targeted', according to ABC News.
Hadi kesho tutakuwa tushajua mengi sana, ila kuna vifo vitatokea sana leo. Kuna ndege zitatunguana tu
 
Back
Top Bottom