Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Kama kweli iran anataka kuishambulia israel, kwanini asinge fanya kwa siri na ghafla.. kelele nyingi sana.. mbwa koko
Ni bora angeanza na balistic misile hata mbili kwanza, hizi drones zinaleta attention ambayo haina maana
 
Wanasema drone zaidi ya 250 zimetumwa uelekeo wa Israel.
Je Israel ataweza jilinda?

Iran ana uwezo wa kushambulia hata kwa drone 10000 ndani ya siku 1
Israel hana huo uwezo wa kuzuia
Kama kweli ni zaidi ya 250 kuzishusha zote kabla ya kufika Israel,lazima msaada kutoka nchi nyingine uhitajike, Israel mwenyewe hawezi kuzishusha zote Kwa muda huu mfupi
 
Israeli has been at war for more than five decade
Do not write off Jews
Hizo ni GPS za kiraia tu. GPS ya kijeshi ya Marekani haiwezi kuwa jammed; iko katika level tofauti sana na zile za kiraia.

Ningependa Netanyahu afundishwe adabu kidogo kabla hajapewa lifline yoyote. Netanyahu ndiye aliyechangia sana kuharibu image ya Israele duniani. Ninapenda netanyahu abanwe makende sana kabla suluhun haijafikiwa. Marekani ikiingilia kati mapema, Netanyahu atapata lifleine ya haraka na atajisahau tena
 
Iran hata wakifunga F35 za US na IDF zote ni Steath zitaingia hadi chumbani kwa Ayatolah bila ya yeye kustuka.
Mkuu vita sio kama mnavyofikiria huo sio mpira wa Man U
Nimeshuhudia vita ya Iraq na Iran na pia Iraq alipovamia Kuwait mpaka mwisho
Vita huwa haina mshindi hata kama tunauma upande mmoja kwa mapenzi lakini vita ina hasara kubwa sana
Unajua sasa hivi Israel wanarundika toilet paper na maji majumbani kuna uzi humu hebu fuatilia breaking news ndio nimesoma mda sio mrefu

Niliishi kwa tende na maji mwezi mzima na sio utani
I was in front bro
 
Ohooooo

❗️Israeli war cabinet expected to authorize PM Netanyahu, Defense Minister Gallant & Minister Gantz to decide on Israeli retaliation; Iran says some launchers pointed at US bases in case Americans get involved. via @N12News
 
Back
Top Bottom