Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna taarifaAlijam mfumo ni IRAN sio Israel get to know.
Unajua Jordan anga lake lilitumika kibabe na Saddam wakati anatupa makomboraKingdom of Jordan imesema inazitungua Bajaji zote za Ayatolah.
Intelijensia ya Marekani ipo juu sanaJana Marekani ilisema Iran itarusha drone zaidi ya mia
Alisikia mkosa rinder aliefuata maagizo ya papaIran inaenda kupotea kama Iraq
Inaenda kua nchi ya kawaida tu
Tunamuona kama mmerkani flani hivi wa mchongoHuwaga mnaichukuliaje Israel
Ndege zote zipo middle eastTurkey has announced that the US cannot use its airspace against Iran
The US is becoming isolated in the region
Jordan ni Sunni Ayatolah ni Shia patamu hapo 😆 Scooter za Ayatolah hazipiti haha.Unajua Jordan anga lake lilitumika kwa kibabe na Saddam wakati anatupa makombora
Na mfalme alikuwa kimya kwa sababu yuko katikati yao na Israel
Ni nchi tulivu sana na imejengeka sijui kama wataingia mtego huo
Nilikuwa Amman mwaka 89
Vipi mmarekani ana air defense base ndani ya Iraq mbona hajaintercept hii ndio ile kumaliza ugomvi uliouanzisha tulia urudishie unashikwa upigwe halafu yanaisha.Senior Israeli officials: Iranian UAVs are expected to arrive in Israel around 2-3 in the morning.
The goal: to intercept them even before and outside the airspace.
Saudi na Iran now ni wamoja, usijichanye kabisa.Ila Saudi hadi sasa hajasema kitu
Wamerusha drones zaidi ya 100 na ballistic missiles kutokea Iraq na Yemen sasa wewe jichanganye.Drones sio ballistic missiles
⚡Israeli media Kann: “The UAVs will arrive in the area at approximately 2:30”
We una akiliIran anataka alipize kisasi, ili kuondoa collateral wameona wafunge anga.
Israel imefanya jamming ili kupoteza mabomu yanayotumwa kwa coordinates ie ballistic, drones etc
Usiangalie uarabu wao angalia kile wanachoaminiKwani hawa waarabu wako upande gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JUST IN
According to Israeli sources, several Arab countries have conveyed readiness to intercept any airborne threats directed towards Israel.
UnaotaHatimae wayahudi wanakwishaaa!
Sasa wale wakosa rinder wa buza waabudu mfu utasikia wanawatetea wayahudi wakati yeshu aliuliwa na wayahudi
Lebanoni ndio wa kwanza kuchakazwaLEBANON just launched another MISSILE ATTACK on Northern ISRAEL.