Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
IronDome bado sio imara sana nini?Nadhani asilimia kubwa ya hizi drones zitakuwa intercepted nje ya Israel kama sio zote
Ohoooo.... This is BAD.BREAKING: Israel is preparing for several days of clashes with Iran.
An Israeli response is expected, Israeli media reports.
Mi mwenyewe natamani tufike hii hatua. Israeli hakuwa na sababu yoyote ya msingi kushambulia ule ubalozi. Ni ubabe tu usio na msingi🇺🇸🇳🇱🇨🇳🇹🇯ifike mahala lazima tuheshimiane tusileteane ubabe wa kishamba zama hizi.
Nadhani Marekani na washirika wengine watazipiga huko nje,kama wasipozipiga zikifika Israel nikwamba tu wameamua zifikeIronDome bado sio imara sana nini?
Utakuwa mwanzo wa WW3Ah whats the point sasa watu wanabakia na hizo BMs na kamikaze sijui
Nuclear naona itasaidia kukomesha vita
Huna haja ya kusubiria zifike kama unaweza kuzitungua zikiwa nje ya anga lako.IronDome bado sio imara sana nini?
HowUtakuwa mwanzo wa WW3
Nina uhakika hizo drone zikikaribia fika tu Cruise na Ballistic zitahusika, hizi siku 7 zitakuwa mbaya kwa pande zote na kuna nchi zitajikuta zinapigwa kimakosaIDF confirms more than 100 drones have been launched from Iran, heading for Israel
Zile bajaj na guta za iran zimefika wapi?Mimi niko mubashara hapa Netanyahu anaandaa F35 Stealth zinaenda Natanz kuharibu Silaha za Atomiki za Ayatolah
Iran wamefunga anga na Israel kafunga lakeMimi niko mubashara hapa Netanyahu anaandaa F35 Stealth zinaenda Natanz kuharibu Silaha za Atomiki za Ayatolah