Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mi mwenyewe natamani tufike hii hatua. Israeli hakuwa na sababu yoyote ya msingi kushambulia ule ubalozi. Ni ubabe tu usio na msingi
Zile balozi ndio zinatumika kuwapa ufadhili vikundi vya kigaidi vinavyoisumbua Israel
 
Nina uhakika hizo drone zikikaribia fika tu Cruise na Ballistic zitahusika, hizi siku 7 zitakuwa mbaya kwa pande zote na kuna nchi zitajikuta zinapigwa kimakosa
Ngoja tuone
 
Ndege za mashirika ya Ulaya ziliona mapema zikasitisha safari jana ili yasijekuwa kama ya Urusi kubaki na mdege
 
Ohoooooo!!!!

โšก#BREAKING Netanyahu convening Israeli war cabinet at military headquarters in Tel Aviv, PM's office says โ€” Reuters
 
Huyu lazima apigike ili iwe rahisi kumpiga Iran, maana ili Israel ashinde kwa kiasi ni lazima azame hadi ndani
 
[emoji1137][emoji1258][emoji1134][emoji1130][emoji298]๏ธJordan has opened its airspace to Israeli Air Force fighters.

Together with American aircraft, they are intercepting Iranian drones.
 
Vita ni hesabu anachokifanya Irani no kutia hasara yeye anarusha kadrone thamani ya 2000$ wewe unakitungua Kwa missile yenye thamani ya 2 million dollar
 
Iran wamefunga anga na Israel kafunga lake
Nachungulia habari zote za Dunia sasa naangalia RT
Iran hata wakifunga F35 za US na IDF zote ni Steath zitaingia hadi chumbani kwa Ayatolah bila ya yeye kustuka.
 
Wanasema drone zaidi ya 250 zimetumwa uelekeo wa Israel.
Je Israel ataweza jilinda?

Iran ana uwezo wa kushambulia hata kwa drone 10000 ndani ya siku 1
Israel hana huo uwezo wa kuzuia
 
Nina uhakika hizo drone zikikaribia fika tu Cruise na Ballistic zitahusika, hizi siku 7 zitakuwa mbaya kwa pande zote na kuna nchi zitajikuta zinapigwa kimakosa
Ni kweli kabisa,na haya mashambulizi ya leo ya Iran ndo yataaamua hii ligi inaendaje
 
[emoji1137][emoji1258][emoji1134][emoji1130][emoji298]๏ธJordan has opened its airspace to Israeli Air Force fighters.

Together with American aircraft, they are intercepting Iranian drones.
Je Iran ataipiga Jordan kwa kuruhusu anga lake kutumika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ