Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Ni bora angeanza na balistic misile hata mbili kwanza, hizi drones zinaleta attention ambayo haina maanaKama kweli iran anataka kuishambulia israel, kwanini asinge fanya kwa siri na ghafla.. kelele nyingi sana.. mbwa koko
Kama Hamas Hua anarusha roketi 4000 kwa siku na zinazuiwa itakua drone shekhe?!Wanasema drone zaidi ya 250 zimetumwa uelekeo wa Israel.
Je Israel ataweza jilinda?
Iran ana uwezo wa kushambulia hata kwa drone 10000 ndani ya siku 1
Israel hana huo uwezo wa kuzuia
Yuko uchi, Us na Israel wako chumbaniKama kweli iran anataka kuishambulia israel, kwanini asinge fanya kwa siri na ghafla.. kelele nyingi sana.. mbwa koko
Jordanian Air Force wamesema wanazitungua haivuki hata moja.Jamani waambieni wajitahidi, hizo guta angalau zifike mbili tu, tupate cha kutambia.
Kaomba wapi?! Unadhani hata bila US Israel haina mifumo ya ulinzi wa anga?naona wanaomba US na UK waintercept hayo makombora yanayokuja. mi nilidhani wanaweza wenyewe nao wanalialiA
Kama kweli ni zaidi ya 250 kuzishusha zote kabla ya kufika Israel,lazima msaada kutoka nchi nyingine uhitajike, Israel mwenyewe hawezi kuzishusha zote Kwa muda huu mfupiWanasema drone zaidi ya 250 zimetumwa uelekeo wa Israel.
Je Israel ataweza jilinda?
Iran ana uwezo wa kushambulia hata kwa drone 10000 ndani ya siku 1
Israel hana huo uwezo wa kuzuia
Biden won't speak, White House says.BREAKING: Biden set to address the nation from the Oval Office tonight
Hizo ni GPS za kiraia tu. GPS ya kijeshi ya Marekani haiwezi kuwa jammed; iko katika level tofauti sana na zile za kiraia.
Ningependa Netanyahu afundishwe adabu kidogo kabla hajapewa lifline yoyote. Netanyahu ndiye aliyechangia sana kuharibu image ya Israele duniani. Ninapenda netanyahu abanwe makende sana kabla suluhun haijafikiwa. Marekani ikiingilia kati mapema, Netanyahu atapata lifleine ya haraka na atajisahau tena
Kama ni kweli basi Jordan washenzi Sana waarabu wanatakiwa washirikiane angali wazungu wanavuosaidiana kuwaangamiza waarabuJordan Air Force wamesema wanazitungua haivuki hata moja.
Mkuu vita sio kama mnavyofikiria huo sio mpira wa Man UIran hata wakifunga F35 za US na IDF zote ni Steath zitaingia hadi chumbani kwa Ayatolah bila ya yeye kustuka.
Duh! Ngoja hayo masaa waliyosema kuwa guta za kisasa zitafika labda hata mbili au tatu zitafika.Jordan Air Force wamesema wanazitungua haivuki hata moja.
Inasemekana ndege ya serikali anayotumia Netanyahu imeonekana ikipotea kwenye anga la Israeli.
Je, Netanyahu ameamua kukimbia? Acha tuone
Israel atasaidiwa na wengi,iran bado sijaona wakumsaidia mana nchi za kiarabu zina unafiki mkubwaHali itakuwa ngumu kwa pande zote mbili maana sioni anayeweza jilinda