Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Vimeingia wapi wewe jamaa? Isije ikawa unaangalia marudio ya sherehe za mkesha wa mapinduzi ya SMZ maana Huwa wanapiga fashi fashi pia.Bro vitu vimeingia ndani ya israel despite kujam GPS na maelecyromic warafare devices ya wazungu wala nini drones zinatembea kilometa 1500 na zinafika zinakotakiwa zifike mpersia mwamba aisee hii naona ni kutuma ujumbe kwa ulimwengu oneni ,je mmeona na kweli tumeona.
Hahitaji kibali cha Turkey kupiga Iran, ndege za US zina uwezo wa kuruka above any airspace na kutumia freezone kupiga popote wanapotaka, siasa tuu hizo, ni kama makombora tuu hayahitaji airspace ya mtupu yeyote, hizo airspace ni Kwa ndege za kiraia tuu na mizigoTurkey has announced that the US cannot use its airspace against Iran
The US is becoming isolated in the region
Wasiporuhusu itawasaidia nini na watamfanya nini mmarekani yakipitia mchini kwao kwa nguvuKwani US atarusha ndege au atatumia tomahawks kutoka meli vita?
Hakuna nchi itayokubali makombola yatumike kupitia nchi yao maana Iran atarudisha lilipotokea
Vaa kibazi katawaze kamwombe mudi kaka. Yale maputo hata mpaka hayajaonaHaha haha vitu vimeingia ndani mmechapwa mmepata taharuki waziri mkuu kasepa na flight na hii ni calculated na mpewa taarifa in advance hamjapingwa na hypersonic zile za 6min to target .
Msije mkalia tuu kama wenzenu wa Gaza, maana usiku ule walishangilia sanaBro vitu vimeingia ndani ya israel despite kujam GPS na maelecyromic warafare devices ya wazungu wala nini drones zinatembea kilometa 1500 na zinafika zinakotakiwa zifike mpersia mwamba aisee hii naona ni kutuma ujumbe kwa ulimwengu oneni ,je mmeona na kweli tumeona.
Mitandao yote ya wayahudi wamarekan8 wakiamua hata simu zote duniani zisifanye kazi wanawezaMtu mpk ana jam GPS mashariki ya kati yote imepotea huyo si wa mchezo mchezo
Iran anatushia tu hawezi jaribu
Ni ufala kufananisha iran na gaza , kama hujui siasa za kimataifa bora unyamaze we nchi inamajeshi yote airforce ,land force ina navy unafananisha na wanamgambo wa gaza kajieneo ka watu 2million wakati iran ni 80million na wanamissile city ikiwa hizbullah tu israel hamuwezi yeye peke yake wakati hizbullah ni mtoto wa iran sembuse leo hii israel amuweze iran hii ni ndoto ya mchana anachojivunia muisrael ni kushawishi marekani aingie vitani na iran ila sio yeye vs iran karibu duniani .Msije mkalia tuu kama wenzenu wa Gaza, maana usiku ule walishangilia sana
GPS ni mfumo unaomilikiwa na US, ukiona hivyo ni US ndio kaamua iwe hivyo sio Israel, na hii ni vita ya US sio Israel peke yake, ngoja tomahawk na F 15 zianze kumwagika Iran labda wataelewaAliyecheza na GPS ni Israel yenyewe ili kumchanganya adui!
Acha kulia lia, subiri mbanwe hizo kende ila msije humu kulia lia na kuomba misaada ya chakulaNi ufala kufananisha iran na gaza , kama hujui siasa za kimataifa bora unyamaze we nchi inamajeshi yote airforce ,land force ina navy unafananisha na wanamgambo wa gaza kajieneo ka watu 2million wakati iran ni 80million na wanamissile city ikiwa hizbullah tu israel hamuwezi yeye peke yake wakati hizbullah ni mtoto wa iran sembuse leo hii israel amuweze iran hii ni ndoto ya mchana anachojivunia muisrael ni kushawishi marekani aingie vitani na iran ila sio yeye vs iran karibu duniani .
Acha hizo basi technologia ya satellite zipo nchi nyingine inazo za kutosha na kuhusu geoposition sio gps tu wachina wanabaidu na warussi wanaglonass ila gps imekuwa maarufu tu elewa basi na kwenye simu sema nchi masikini tunategemea huko ila zinazojitambua wanamifumo yao hatukatai kwa sehemu kubwa bado western countries zinadominate tech ya dunia.Mitandao yote ya wayahudi wamarekan8 wakiamua hata simu zote duniani zisifanye kazi wanaweza
Nyinyi si mnatoana marinder makanisani kwa maamrisho ya mfu kristoMsije mkalia tuu kama wenzenu wa Gaza, maana usiku ule walishangilia sana
Pale hata akienda usa zitachapwa barabara kweli kweli haitakuwa kumsukuma mlevi na kwa mara ya kwanza utasikia ulaya majiji yananyukwa missile na sie akina masikini huku hormuz ikifungwa na bab el mandeb ikifungwa tutanunua mafuta lita 10,000 hii usiombee itokee .Acha kulia lia, subiri mbanwe hizo kende ila msije humu kulia lia na kuomba misaada ya chakula
Kama kuna watu wanapenda matako, hao unaowatetea wanaoongoza na sio Siri, Pwani yote ya Africa na Zanzibar ndio wanaoongoza Kwa ushoga na kubanduliwa matako, na nani anakaa huko? wakatoliki 🤣 🤣 au?Nyinyi si mnatoana marinder makanisani kwa maamrisho ya mfu kristo
Hakuna drone ambayo imepitaMuislrael kashapigwa huko!