Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Ahsante
 
Israel pia wamejitahidi mifumo ya ulinzi ya anga imewasaidia sana
Mifumo ya ulinzi iliwekwa busy kwa kupambana na drones. Athari yake ni kwamba ukituma drones nyingi inakuwa inazidiwa hivyo missile zinakuwa rahisi kufanya targets.

Urusi ilivyoshamulia Kieve Ukraine ilitumia aina tofauti za makombora na mengine geresha na walitumia makombora mengi ili kuochanganya mifumo tofauti tofauti ya ulinzi iliyofungwa Kieve.

Lengo ni kuifanya mifumo ichanganyikiwe na izidiwe. Nafikiri Iran naye kaamua kufanya hivyo kwa lengo hilo!
 
Kwa mbinu hiyo je ni ngapi zimefanikiwa kupita?
 
Kwa mbinu hiyo je ni ngapi zimefanikiwa kupita?
Kiukweli sijui nisikuongopee.

Sijui ni idadi ngapi ya missile alizozituma Iran.

Ila ninachokijua ni kuwa drones zimerushwa kutokea Iran, Iraq na Yemen.

Ndizo nyingi zinazokadiriwa kufika 500+

Ila US, UK na France pamoja na Jordan wanamsaidia Israel kuzipunguza. Hivyo zinazofika Israel ni chache ijapokuwa kwa kiasi chake ni nyingi.

Kumbembe kinabalu kwenye kuzuia missile. Kilochofanyika nacho ni kwamba Iraq nayo imerusha missile pamoja na Yemen.

Hapa linachotokea ni mwenye zana bora.
 
Ngoja tuone mpaka asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…