Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

Kutoa maoni sio Siasa, na maoni yatapimwa kwa hoja !!
 
Chama cha CUF ndio kilikuwa Chama cha misikitini, tatizo masheikh wengi hawana elimu wamesoma Quran tu.

Baraza la maaskofu linaundwa na PhD na degree holders tu, lile ni zaidi ya baraza la mawaziri.
Sasa kama una Phd lakini bado unakubali kuinamishwa uingiliwe na mwanaume mwenzio bado tutakutendea haki kukuita msomi??
Pole sana kuna Phd kibao wapuuzi tu ila sikulaumu sana mana sijajua elimu yako imeishia wapi😂😂
 
Kuna shekhe yeyote mwenye akili anaweza akaandika waraka ukaeleweka?
 
Uislam hoyee, ukristu sio hoyee baada za kujibu hoja mmekimbilia kwenye mambo ya udin kubebana nk pumbv zn
 
Kina Mwaipopo?
 
TEC Wamefanya vyema Sana kuwafafanulia waumini wao vitu ambavyo hawavielewi...hao masheikh nao wakawafafanulie waumini wao kwanini wanaunga mkono mkataba huo
 
Wewe huna akili,kiufupi tu wewe ni walewale

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mbona PhD za Mafather,Maaskofu,Mapadre zinawatoa povu[emoji1787][emoji1787]
Hatujawazuia viongozi wenu kwenda kusoma.


Wewe unayesema PhD siyo akili,
Nenda kachukue yako uone kama ni rahisi kuipata bila akili.
 
I miss you too
 
Mbona PhD za Mafather,Maaskofu,Mapadre zinawatoa povu[emoji1787][emoji1787]
Hatujawazuia viongozi wenu kwenda kusoma.


Wewe unayesema PhD siyo akili,
Nenda kachukue yako uone kama ni rahisi kuipata bila akili.
Unaongelea hizi Phd za kununua au??
 
tofauti ya TEC na makanisa mengine na masheikh ni moja tu , TEC ni wasomi tena vipanga sana , wengine wanobaki sijui makinisa mengine na masheikh shule hamna ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…