MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
But Iran kapigwa ndani ya wikiUnyonge dhambi saa zingine mtishe tu adui anaweza kuogopa ππ, nenda page ya Israel defence forces (idf) wanavyopost unaona wapo juu sana kiasi kwamba wanaweza kuisambaratisha irani kwa wiki.
Lazima tuwakumbushe maana Trump kawashtukiza hawakupata muda wa kulainisha kwa mafuta, jitu limeingia kavu kavuππππRejea au sio
Mkuu ukiambiwa teknologia unaelewaje?WHy hawaja msaidia Iran..? Tuanze kuwalaumu wao. Na umoja wao. America ndiye baba wa dunia
Sawa. Mkae basi kwa kutulia watu wafanya kazi zao kwa usawa
Hao wote wanaogopa rungu la NATO ushirika gani usio na ushirikiano wa kijeshi moja kwa moja. Huo ushirikiano wao ni wa makaratasi tu basi- Iran ina uhusiano na Russia na China, lakini si wa moja kwa moja kijeshi katika mzozo wa moja kwa moja
Mjinga hawezi kujibu hilo swaliSwali la kijinga sana
Ng
Ni kawaida Hata Israel kapigwa mara mbili mfululizo juzi na jana leo ndio wamerudisha kwa kusaidianaBut Iran kapigwa ndani ya wiki
Teknolojia inajielezea mkuuMkuu ukiambiwa teknologia unaelewaje?
Mwanetu anaugulia kipekee rafiki zake wataishia kubweka tuHao wote wanaogopa rungu la NATO ushirika gani usio na ushirikiano wa kijeshi moja kwa moja. Huo ushirikiano wao ni wa makaratasi tu basi
So what..?
MagazijutoHivi wanaotengeneza hizi silaha wanakuwa wamesoma kozi Gani vyuoni?
Anabweka tu huyo si angekuja kabla ya ..?
Kugundua silaha ni kipaji, elimu inaboresha tu hizo silaha, ndipo wataalamu wa Fizikia na Kemia wanamaliziaHivi wanaotengeneza hizi silaha wanakuwa wamesoma kozi Gani vyuoni?
Mkuu hii ndege mbona inajulikana si mara ya kwanza kutumika. Issue kubwa hapa ni yule master wanayesema ni mkali kashindwa kupambana peke yake mpaka kamwita master mkuu.Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi.
Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
View attachment 3378693
View attachment 3378694
Huyo china naimani hawezi kujihusisha na vita vya mtu mwingine maana anajua anatafutwa tu aingie kumi na nane wamshushe hiyo speed yakeMwanetu anaugulia kipekee rafiki zake wataishia kubweka tu
Hao Marekani mashoga wasioijua njia ya hakhi hawana lolote. Iran Mnyaazi Mungu atawalipia kisasi. Death to America, death to Israel.
Taiwan aliishia kubweka wakati Us anaingia na kutoka, aliishia kuizingira na kupiga tizi tuπ€£π€£Huyo china naimani hawezi kujihusisha na vita vya mtu mwingine maana anajua anatafutwa tu aingie kumi na nane wamshushe hiyo speed yake