Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #201
Mimi ni mwanasheria. Na nimezungumza kama Mwanasheria. Kwenye suala la Bandari hakuna ubaya wa mkataba na ninachoona ni watu kutaka kupush ajenda zao walizokuwa wamezificha kupitia suala hili la bandariWew hata uwe askofu mzee.., kama huoni dosari za waumin wako wapo watakaoziona. Tatizo letu watu weusi kwanza huwa ni Wanafiki sana, wabinafsi sana na wenye kuendekeza njaa.
Nina uhakika wew si mwanasheria, usisome sheria kama unasoma gazeti, kuna vitu huwezi kuvielewa. Ila kwa kuwa kila mtu amekuwa msemaji endeleeni, maana bora hata Mangungo ambaye hakujuwa kusoma wala kuandika.
Mkataba una shida gani kwani?
It's a bad precedent kwa dini kuonesha zina nguvu kuliko Serikali. Nchi yetu ina dini nyingi sana. Je vipi dini zingine zikianza kutoa matamko yao?
nYyingi ngapi? Jana masheikh hawakutoa tamko wakina slaa washughulikiwe na yule mla nguruwe nae au umesahau?Mkataba una shida gani kwani?
It's a bad precedent kwa dini kuonesha zina nguvu kuliko Serikali. Nchi yetu ina dini nyingi sana. Je vipi dini zingine zikianza kutoa matamko yao?
Pitia tamko la katoliki limechambua kila kitu na uanasheria wako uchwara mkiwa humu ndani mnajifanya wasomi mkienda meda za kimataifa hovyo kabisa punguani weweMkataba una shida gani kwani?
It's a bad precedent kwa dini kuonesha zina nguvu kuliko Serikali. Nchi yetu ina dini nyingi sana. Je vipi dini zingine zikianza kutoa matamko yao?
kuheshimu mhimili wa mahakama kwa namna ilivyo sasa ni kuopt for appeal na sio fujo, ndivyo walivyomaanisha naamini. na hiyo haiwazuii kutoa tamko, kwamba kupinga maamuzi ya mahakama njia sahihi ya kuheshimu mhimili huo ifuatwe, na njia sahihi wanayowashauri wananchi nadhani ni kuappeal.1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Kama wanasema iheshimiwe kwa nini wanasema Serikali iachane na mkataba wa Bandari wakati mahakama imesema iendelee naokuheshimu mhimili wa mahakama kwa namna ilivyo sasa ni kuopt for appeal na sio fujo, ndivyo walivyomaanisha naamini. na hiyo haiwazuii kutoa tamko, kwamba kupinga maamuzi ya mahakama njia sahihi ya kuheshimu mhimili huo ifuatwe, na njia sahihi wanayowashauri wananchi nadhani ni kuappeal.
Hatutaki utawala wa Sultani sisi tupo huru wacha Maaskofu watusemee sababu sauti yao ina nguvu kuliko hao wabunge wa kubet!1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Mkuu achana na DP Weldi!1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!

kwanza mahakama sio msemaji wako wa mwisho, funguka akili. mahakama yenyewe majaji wameteuliwa na kiongozi wa CCM.Kama wanasema iheshimiwe kwa nini wanasema Serikali iachane na mkataba wa Bandari wakati mahakama imesema iendelee nao
Kwani wao kina nani kwangu?Mkuu achana na DP Weldi!
Unaweza kuwa mwanasheria kwa jina, lakini tukikuhitaji utetee hiyo sheria yako tunaweza shangaa ulifikaje hapo. Ila sawa mkuu, wacha iendelee kunyesha tuone panapoendelea kuvuja.Mimi ni mwanasheria. Na nimezungumza kama Mwanasheria. Kwenye suala la Bandari hakuna ubaya wa mkataba na ninachoona ni watu kutaka kupush ajenda zao walizokuwa wamezificha kupitia suala hili la bandari
wateme tu ndoana, na kama hela waliyokula haipo tena watuambie turuhusu hata tozo ya miezi kadhaa ili wamlipe mwarabu hela yake atuachie bandari yetu. kuna nini nyuma ya pazia kwani? kwanini wanang'ang'ania sana na hamjibu mamswali ya msingi?Mkuu achana na DP Weldi!
Hayo ni mawazo yakoUnaweza kuwa mwanasheria kwa jina, lakini tukikuhitaji utetee hiyo sheria yako tunaweza shangaa ulifikaje hapo. Ila sawa mkuu, wacha iendelee kunyesha tuone panapoendelea kuvuja.
DPW kwa ujumla hawezi kupendwa na baadhi ya wanasiasa, ni wanafiki wenye maslahi yao kupitia ufanisi mdogo wa uendeshaji wa bandari yetu.
Rais Samia anapopigania uwekezaji lengo lake ni kuongeza ufanisi wa TPA ili kinachopatikana kilingane na nchi yenye kutegemewa na mataifa nane kwenye suala zima la bandari.
Maadam upo msimamo wa bunge wenye kueleweka basi huo ndio wa muhimu zaidi kuliko hizi taasisi nyinginezo za kidini ambazo wahusika wanaweza kuhongwa pesa au kuwaonea aibu hao baadhi ya wanasiasa wapigaji wa pale bandarini.
Hayo yote waliyotoa Baraza la Maaskofu ni Lugha tu ya Staha, ila wanaamini huu mkataba ni WA kilaghai, sasa ulitaka wamwambie Rais huu ni mkataba WA kilaghai?1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
wewe kama ni mwanasheria, basi ni mwanasheria kilaza. hata mtu asiyesoma sheria ameona mapungufu kwenye ule mkataba, TLS ambayo wewe upo imeona mapungufu, taasisi pekee isiyoona mapungufu ni CCM. utasema una akili za sheria kweli hapo? ulisomea wapi au ni sheria za nyumbani kwako ndo unakuja mbele za watu kusema wewe ni mwanasheira?Mimi ni mwanasheria. Na nimezungumza kama Mwanasheria. Kwenye suala la Bandari hakuna ubaya wa mkataba na ninachoona ni watu kutaka kupush ajenda zao walizokuwa wamezificha kupitia suala hili la bandari
punguza jazba ....umeshaambiwa bandari haiuzwi tena kwa upole na upendo.Kuna makosa Serikali ilifanya na haya ndo yanafanya hawa wapuuzi wajione kama sehemu ya uongozi wa hii nchi.
Ni mambo ya ajabu kabisa. Eti wanatoa tamko kutaka serikali iachane na mkataba wa Bandari? Wao kina nani nchi hii? Kesho BAKWATA wakitoa tamko kutaka Serikali iendelee na mkataba??
Wanataka kuifanya hii nchi iingie kwenye matatizo hawa wajinga.
Unauliza humu? Serikali yako imeingia iyo mikataba ya hovyo wananchi tunasema inatoshaNaomba kuuliza miikataba ya serikali na makambuni ya Migodi wananchi walikubali?