Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #161
Najua wanasoma humu. WaoneTengeneza copy nyingine wapelekee pale Kurasini TEC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua wanasoma humu. WaoneTengeneza copy nyingine wapelekee pale Kurasini TEC
Nenda kawaambie Bunge na Mahakama Kuu ya Tanzania wamesharidhia serikali inaendelea na mchakato maoni yenu tumeyasikia lakini ni Rubbish.Hujui kitu wewe
Nimehongwa na nani? Kama nimehongwa nisingekuwa mikoani huku nahangaika nipate chakula?Umehongwa chizi wewe funga domo lako ova!
Niliwahi kusema kuwa Lord denning ana matatizo ya ubongo! Ni mfuasi wa CCM asiye fikiria kabisa.Hizo takwimu zako ni za wapi? Utafiti uliufanya lini?
Hii ni mpaka 2030 kama hutaki hama nchi.Rais hovyo kuwahi kutokea ameshindwa Kila kitu
Tunasubiri na wao wakija tunawapa za uso tu.Kumekucha
BAKWATA VP
Bottom line hatutaki Bandari zetu zigawiwe kwa foreigners mkilazimisha msije kurukana huko mbele kwani ni lazima mtalipa, Watanzania wengi hawataki hivyo ni kama mlivyosikiliza na kumwachia W.Slaa pia na hili msikikize sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
Bandari za watanzania wote Kama haziendeshwi kwa faida tarajiwa basi wapewe watu waendeshe serikali ikusanye Kodi.Bottom line hatutaki Bandari zetu zigawiwe kwa foreigners mkilazimisha msije kurukana huko mbele kwani ni lazima mtalipa, Watanzania wengi hawataki hivyo ni kama mlivyosikiliza na kumwachia W.Slaa pia na hili msikikize sauti ya wengi ni sauti ya Mungu …
Kwakuwa huduma zao zinalipiwa basi Serikali iache kutumia pesa za watanzania wote kuhudumia dini moja.Nitajie Hospital hata moja ya Rufaa inayomilikiwa na Bakwata au vyuo vikuu 2
Mkuu, kama mkataba una kifungu kinachosema kuwa hauwezi kuvunjika kwa sababu zozote zile hata kwa kushindwa kutekeleza mlilokubaliana, kwa maneno ya JPM "ni kichaa tu anaweza kuukubali"Ni uelewa tu mdogo kaka, na ule ni mkataba kamili ukitaka kuelewa mantiki yake uusome wote kwa ukamilifu wake sio kifungu kimoja kisomwe kwa nia tu ya kutaka kufanikisha lengo la taasisi fulani.
Kama akili yako inaangalia kupata kura wewe utakuwa mjinga wa mwisho duniani.Niliwahi kusema kuwa Lord denning ana matatizo ya ubongo! Ni mfuasi wa CCM asiye fikiria kabisa.
Hawa cct, wako smart kweli kweli. Waumini wao ni wengi in such a way wakiwaambia mtu ni mbaya asopate kura, hapati kweli.
CCM kama hawajipendi waendelee kushupaza shingo.
Shida kubwa ya ndugu zetu wa Catholic wanadhani kwakuwa JPM hakumaliza muda wake ilikuwa ni haki yao kuendelea kutawala kuna ile hali toka Nyerere kwa bahati tu kuwa awamu moja baada ya nyingine imekuwa Catholic, Muslim, Catholic, Muslim sasa hili linawakera sana na wakiona kule CCM vijana waliojuu kama mastar wa baadae hakuna Catholic na hawa wanadhani wanahaki juu ya watu wote. Kuna agenda kubwa zaidi hili la bandari ni kichaka tu ndio maana haya yanaratibiwa na watu wako Nje, hilo linajulikana na hata Dr Slaa kasema sio siri tunaratibiwa na kikundi kinajita Sauti ya wa Tanzania. Hawa wengi wako nje na wanakereka jambo la uraia pacha linapigwa chini sasa wanatumia hii nguvu ili siku wakikaa meza moja wapate wanachotaka. CCM walilijuwa hili ndio maana wamekuwa wanalipinga, kwa sasa wanatumia chokochoko. Hawa watu ni hatari sana kama wanania nzuri hawa Sauti ya wa Tanzania ni kina nani? kwanini wanajificha hawasemi ni kina nani? wanaogopa nini?Kimsingi swala la Bandari ni Agemda ya Kanisa wanahubiri hayo makanisani hadi kwenye Jumuia,wanaambizana kwamba Wakioewa DP world waislaam watapewa kipaombele.
Unajua ukizoe kuka nyama ya mtu,always utakuwa unamuwazia hivyo kila mtu.
Kwa miaka Mingi sana kuna ubaguzi wa dini kwenye nchi yetu Wakristo hasa wakatoliki wanajifanya hii nchi ni mali yao.
Wanaamini kila kinachoridhiwa na Kanisa lazima kiridhiwe na Nchi,na kikikataliwa na kanisa lazima kikataliwe na nchi.
Kama ukivyosema ,wakati wa utawala wa Magufuli,pamoja na maovu mengi na mikataba mingi hawakuwahi kuihoji hawakuwahi kukemea ule unyama uliofanyika kwa sababu aliefanya ni mkatoliki mwenzao.
Kaingia Rais Samia,anasaini Mkataba wa DP world kama Magufuli alivyosaini Yapi Markez,lakini kila anaepinga ni Mkristo kama una rafiki mkristo mlieshibana atakwambia jinsi hii ageda inavyohubiriwa makanisani.
Kuna ule mkataba wa mwaka 1992 kati kanisa na serikali. Mkataba wa kanisa kuchotewa mabilioni ya shilingi kwa ajili ya shule zao na Hospital zao.1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Mlio wengi mnaosapoti huo mkataba niwanufaika wa huu utawala., maana ni nadra sana mtu anayepata ugali kupitia utawala huu akwambie mkataba una mapungufu.1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Tunasubiri na wao wakija tunawapa za uso tu.
Mimi nanufaikaje na huu utawala?Mlio wengi mnaosapoti huo mkataba niwanufaika wa huu utawala., maana ni nadra sana mtu anayepata ugali kupitia utawala huu akwambie mkataba una mapungufu.
Tuliona wote Mahakama ilikili kuwa mkataba unamapungufu na bado ikatupilia mbali pingamizi., hapo raia watakuwa kweli na imani na hii mihimili mitatu na mnasema inajitegemea., au ilishaungana bado kutangaziwa tu.
Mkataba huo huo una kifungu cha serikali kuutaifisha wote mzima, umekisikia kikiongelewa popote hicho kifungu?.Mkuu, kama mkataba una kifungu kinachosema kuwa hauwezi kuvunjika kwa sababu zozote zile hata kwa kushindwa kutekeleza mlilokubaliana, kwa maneno ya JPM "ni kichaa tu anaweza kuukubali"
Huyo Rais wa mpito ndio utajua wazanzibar ni ngedere tu, huyo mwisho wake 2025. Mbwa nyie mtalia sana Libibi anaondoka huyoHii ni mpaka 2030 kama hutaki hama nchi.
Nimesoma wote sijaona kifungu kinachoruhusu utaifishaji.Mkataba huo huo una kifungu cha serikali kuutaifisha wote mzima, umekisikia kikiongelewa popote hicho kifungu?.
Jiulize kwanini. Ni siasa za upotoshaji zina ushawishi mkubwa kwenye jamii yetu.