Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #641
Kwani IGA ndo mkataba mahsusi wa uwekezaji hadi uwe na kipengele cha ukomo na tutapata nini?We ni mjinga,jibu Hoja za bandari bila kuangalia Hawa ni bandari,Slaa au maaskofu,Hoja ni kwamba
1.kwann waarabu wapewe mkataba usio na mwisho?
2.kwann mkataba haunyeshi sisi tutapata nn?
Weww na wezi wako wa pesa za escrow hao wote hamna hoja zaidi ya viroja