Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Nani kakwambia huyo mtoto wa Rais alienda kwa shughuli za Serikali?
Wewe ni fala...na ninadhani hujui hata kiingereza.
Nimeweka hapo maelezo ya Rais museveni akielezea tukio zima na picha juu yake.
Kwa hiyo Rais museveni ni mfanyabiashara?
Screenshot_20230817-201642_Twitter.jpg

Huyu Abdul ana. Cheo gani TANESCO au anafanya kazi taasisi gani ya UMMA?
 
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!

Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?

2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.

Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?

3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?

Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!

Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Umemaliza asiyetaka kuelewa huyo shauri yake, nchi ina vyama vingi hata akishinda 51% wao wanaamua nini cha kufanya kwa mujibu wa sera zao kama kuna watu hawakubaliani nao wasubiri uchaguzi wachague wanayemtaka lakini sio unaleta vingamizi katikati ya mchezo ni kujipanga na jinadi tofauti. Sababu ni wazi hatuwezi kukubaliana 100% hata leo serikali ikisema tunawaletea maziwa bure kwenye mabomba nyumbani watakuja tu watu watasema maziwa labda ya Kilimanjaro haya ya ASAS sio mazuri hatuyataki. Yesu alikuja na alifanya jitihada zote kuwaridhisha binadamu lakini mwisho wakamtundika, Mtume Mohammed na mazuri yake yote lakini walimfukuza kwenye mji aliozaliwa na haya mambo hayatakwisha. Gaddafi aliwafanyia mazuri wa Libya lakini wakamfanya nini na leo wako wapi. Tuache serikali ifanye kazi mtu asiyewataka 2025 usiwape kura.
 
Wapi kwenye mkataba imesemwa watu wanakuja kutengeneza msikiti? Hivi nyie watu mna akili kweli? Au ni milobot mliyoshikiwa akili?
Kwani kila kitu Kipp kwenye mkataba!? Hata zile Trillion 26 tunazoambiwa hazijaandikwa kwenye mkataba.
 
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!

Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?

2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.

Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?

3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?

Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!

Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Nadhani unachopaswa kuelewa, hilo tamka la TEC ni maoni yao! Hawajailazimisha serikali kukubaliana na maoni yao,lakini wametoa tahadhari.
 
Weye huna weledi kabisa kama huoni ubovu wa vipengele vya mkataba basi either huna akili huo mkataba wa bandari unakubalika na mwendawazimu tu
Pia mkataba unapingwa na nwendawazimu tu ambae anaendeshwa na itikadi za udini
 
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!

Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?

2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.

Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?

3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?

Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!

Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Wewe ni mjinga kutoka wapi na maswali yako haya??? Asanteni maaskofu kwa hili. Mafisadi na matapeli yameumbuka.Mungu hayupo nao.
 
Kwa hiyo wewe na chama chenu ndo hamna akili ya kuendesha bandari?
Nyinyi miliandesha nini? wabunge 19 tu miaka 4 wamewatoa kamasi imefukuza CCM wamesema hakuna kuondoka mtu ndio nguvu ya CCM wanaume mmeufyata kimyaa mpaka leo ndio mtaongoza watu mil 60. CCM wakivukuza mtu wanavukuza . CCM sio mtu ni chama mambo aliyoamua JPM ni yaleyale CCM hawajageuza sababu ni chama CCM. Nyinyi hapo ajaribu mtu tu amguse Mbowe ndio utajuwa CDM ni nini.
 
Wewe ni mburura. Tumia akili basi hata kidogo.

Unafikiri nani anakataa uwekezaji wa DPW?

Tunakataa masharti ya mkataba. Tumeyaongea humu yajibuni.

Halafu wewe ni mdini sana. Punguza mahaba ya dini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanisa linapinga waarabu,wangekuwa wazungu usingewasikia.
Nchi yetu bado kuna wajinga wengi
 
Tanko dogo mmepaniki kama watoto.

Hutaki maaskofu watoe maoni yao?

Au ulitaka wakitoa maoni yao, yawe ya kukufurahisha wewe na chawa wenzako?

Wacha utoto, hii Tanganyika ina watu wanaojielewa.
Hao maaskofu walikuwa wapi wakati wa Magufuli
 
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!

Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?

2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.

Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?

3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?

Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!

Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Tengeneza copy nyingine wapelekee pale Kurasini TEC
 
Back
Top Bottom