Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Kwani Bakwata wana ufahamu wowote juu ya bandari? Si ajabu hawajui kinachoendelea😆😆😆
 
ROMA LUCUTA, CAUSA FINITA
 
Naomba kuuliza miikataba ya serikali na makambuni ya Migodi wananchi walikubali?
Ndio maana tunasema mbadike, tunaposema Tanzania ya 1990's haiwezi kuwa kama ya 2023. Watu wamebadilika na wameelimika kuliko enzi hizo,
 
Ndio maana tunasema mbadike, tunaposema Tanzania ya 1990's haiwezi kuwa kama ya 2023. Watu wamebadilika na wameelimika kuliko enzi hizo,
Wabadilike hawa Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
 
Sidhani iwapo historia ya hao kina IPTL ina mfanano wowote na DPW. Tusikariri maisha, huwa yanabadilika kila kukicha.
 
Kwani Bakwata wana ufahamu wowote juu ya bandari? Si ajabu hawajui kinachoendelea[emoji38][emoji38][emoji38]
Wenye ufahamu wa Bandari ni hao Dp world ndio maana serikali imeamua kuwapa hiyo Bandari kuwekeza
 

Wanajificha?yet umesema ni diasporas hueleweki.
 
Bottom line ni Waarabu hawatakiwi ila sio foreigners.

Hizi kelele zimekua nyingi sababu ya Uarabu wa DP WORLD ila sio vinginevyo.
 
Nitakujibu Na.3. Atasikilizwa Mkubwa, SASA chagua wewe kati ya BAKWATA na TEC nani Mkubwa!
 
Wananchi tumeshawakilishwa na Bunge letu na wameridhia vile vile Mahakama Kuu ya Tanzania imeshabariki.Kazi iendelee
 
Ogopa tumbo likisikia njaa
Riziki haramu zimekatwa
Mirija imefyekwa
Bandari ndio walikuwa wanaingiza bidhaa na kusingizia misamaha na pia wanakitakatishia fedha huko
Waache kelele tunajua wamekula vya haramu tangu uhuru

Ukiambiwa ulete ushahidi kwa haya utaweza au una jisemesha tu.
 
Wananchi tumeshawakilishwa na Bunge letu na wameridhia vile vile Mahakama Kuu ya Tanzania imeshabariki.Kazi iendelee
wabunge wanatakiwa kuongea kile wananchi wao wanataka, kile wabunge wamekiongea na kukiruhusu hawajamwakilisha mwananchi yeyote, ndio maana wananchi waliowatuma hawakubaliani na walichokipeleka bungeni, bunge lenyewe ni la chumia tumbo watu wanapelekwa kwanza dubai wakirudi ndio wakubaliane unahisi hakuna rushwa hapo?
 
Kwamba mnaweza kuwakamata Maaskofu? Nimekaa paleeee! Mkitaka mfutike kwenye USO wa hii nchi guseni hata upindo wa vazi la mmoja wao!
 
Padri mmoja ni wewe na ukoo wenu mzima.
Hahaha hawa hawa mapdri wa kikatoliki tafadhali aisee sitaki kusikia hata mazoea tu sitaki wana tabia mbaya sana. Nimeacha kwenda kanisani kwa sababu ya kuharibu watoto nimepiga marufuku.kabisa
 
Inawezekana mwenzetu hujui maana ya bunge na nguvu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…