Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Ni wapi BARAZA limepinga uwekezaji? Hivi mnahangaika nini? Jifungieni huko muwape majibu ya maoni yao. Mnazidi kuchosha akili za watu. Aibu Kubwa hii kama huko ndio mko watu wa aina yako. Nachelea kuomba reshuffle. Mmetuangusha.
A YA WAZI KWA RAISI WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA LA KATOLIKI TANZANIA DR GERVAS NYAISONGA; KUFUATIA SAKATA LA UWEKEZAJI WA BANDARI KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA SERIKALI YA UMOJA WA FALME ZA KIARABU


0755988284.
 
Kukosoa mtoa hoja bila kukosoa hoja yenyewe ni kupoteza muda.
Jadili IGA yenyewe please!
 
You deserve a dislike.
Jibu hoja zilizopo kwenye tamko la TEC sio kuleta porojo.

Sema inahitaji moyo mgumu sana kuutetea mkataba wa nchi mbili Tanzania na Emirate of Dubai, Lakini Rais wa Tanzania ndio kasaini kwa niaba ya nchi zote mbili.
So big up.
 

Yes because we are not china. If china ndio reference yako , china wana mfumo tofauti kabisa wa kiungozi.
we uliona wapi china wawekezaji wana grow powerful kuliko gov kias kwamba cha kuchange policy za nchi kwa advantage yao?
 
Hiv kwanini hamjikiti kwenye hoja. Hapo umefafanua nini sasa vifungu vya mkataba. Kwamba kutokuongea sehem flan huko nyuma ndio kuhalalishe kuziachia bandar zetu bure. Poor Africa
 
siasa sijui aisee na ninachojua wabongo wengi sisi ni wabinafsi na wapenda anasa.

Nasubiri Tamko la baba yangu Askofu Gwajima alipo nipo.
Sijui siasa, lakini Gwajima akiunga mkono jambo lazima na mimi niwe upande huo.
 
We ni mjinga,jibu Hoja za bandari bila kuangalia Hawa ni bandari,Slaa au maaskofu,Hoja ni kwamba
1.kwann waarabu wapewe mkataba usio na mwisho?
2.kwann mkataba haunyeshi sisi tutapata nn?
 


Hongera kwa uchambuzi wako uliotukuka:

1: Je haya ndo yamezaa mchakato mzima wa ubinafaishaji wa bandari uwe kama ulivyo sasa?

2: Je yanajibu hali tuliyonayo au kutoa mwanga wa nini kifanyike?

3: Unaridhika na mchakato mzima uliotumika kwenye ubinafsishaji wa bandari kulingana na katiba vs sheria za nchi katika kumtafuta mwekezaji?

4: Umeridhika na vipengele vilivyoko kwenye makubaliano vs mkataba?

5: Unakubaliana na utaratibu mzima wa muda uliotumika kusaini vs kupitisha makubaliano vs mkataba bungeni?

6: Unaweza kutupatia mawazo mbadala dhidi ya TEC kuhusu suala husika?

7: Kama mwana philosophia umewaomba TEC utafiti wao ili ujiridhishe na waliyosema wakakunyima?
 
Halafu nyie Ndugu zetu Waislam Ni walalamishi sana- toeni Na waraka wenu tupime weledi wenu ktk kutetea Mali za Tanganyika basi.

Malalamiko yote hayo ya nini bila kujibu hoja za TEC Ni kuwachosha wasomaji Na sidhani Kama TEC wanacho cha kuwajibu. Binafsi nimeusoma waraka wao TEC Ni mzuri- unatetea Mali za Tanganyika- period.

Sasa Na nyie toeni wenu tuone mnasimamia wapi...
Kila mtanzania anataka uwekezaji lakini si huu uwekezaji unaokuja Na nia mbaya toka mwanzo Kabisa Kwa vifungu magumashi visio Na ukomo, vinavyotaka kuhodhi njia kuu zote za uchumi Na nyie ndugu Zetu mupo mupo tu kutetea mambo ya ki Karl Peters . Amekeni bwana - jua limewaka sana Na nyie habo mnatafuta tochi kumulikia huo waraka- Toeni wenu tuusome Na ikiwezekana mujibu hoja Kwa hoja bila kushambulia personalities.
 
Nijuavyo mimi maaskofu wa Rc uwezo wao na connection yao intelligent yao ni kubwa na uhusiano wao na viongozi wengi wa ndani na nje ya serikali
Baada ya tafiti na kuyajua yaliyofichika ndio wamekuja wazi wazi na waraka huu
Hivyo basi kuna mengi yapo nyuma ya pazia na viongozi wengi wameshindwa kusema na kumshauri mama hivyo ndio wametoa support kwa Tec kuka na waraka
Kinachoonekana waziwazi support ya udini kuhusu mkataba huu ni kubwa sana kuna jambo lipo nyuma ya pazia
Wenye macho tu wanaweza kutambua
Ndio maana wanaopinga wanaonekana ni udini hilo linaqeza kuwa kweli udini umeingizwa kwenye mkataba huu
 
Serikali itaamua yenyewe la kufanya juu ya mkataba huo kwani TEC wametoa mawazo yao.
Suala la mauaji sijui ya Rwanda yanahusiana vipi na suala hili?
 
Wakina profesa shivji waliuchambua huu mkataba nao utasemaje acha uzwazwa we punguani, ukiacha na uaskofu wao wale ni wasomi na wanjielewa kuliko ao wachumia tumbo unaowatetea, hivi unajuwa mkataba ni wa muda gani, upo tayari ardhi yetu ifanywe mali ya arabs , wale wakiamua kununua mikoa nane utawazuia pesa wanayo ach ukuu_ ma@m@yo
 
How. The church cannot be superior than God himself. Remember the president is chosen by God. The church is contradicting itself. Kuanzia Leo nalihama hili kanisa nakuwa muislamu mana ni upuuzi tu na kutaka kujitukuza
Utasilimu mara ngapi mkuu
 
Hatujakataa na tunataka sana tatizo mkataba hivi tngia uzaliwe ushawah ishi ktk mkataba wwte ule, vipengele vinatubana mzee ni vya kiwaki haswa,
Vipengele ndio vinakuja na hoja ni swa na imeuzwa tu ila kwa kuzunguka but kwa mkataba ule to cut long short ni kwamba bandari imeuzwa
Kumbuka bandari zote na pia watakuwa na uhalali kumiliki ardhi kiasi watakacho hitaji ay dar wkasema wanaitaji hecta 200k thn bandari ingine wakaitaji eneo la ardhi 500k na nyingine ukijumlisha unakuta wnamiliki nusu ya Tanzania si ukyuma uo
 
Then, kwa nini unawashambuliwa TEC badala ya kupangua hoja zao au ndiyo hulka yako kwenye mijadala?
Wametoa hoja gani? Wana hata iyo moral authority ya kufanya hayo? Wanadhani tumesahau walivyokula pesa za escrow?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…