Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

We ni mjinga,jibu Hoja za bandari bila kuangalia Hawa ni bandari,Slaa au maaskofu,Hoja ni kwamba
1.kwann waarabu wapewe mkataba usio na mwisho?
2.kwann mkataba haunyeshi sisi tutapata nn?
Kwani IGA ndo mkataba mahsusi wa uwekezaji hadi uwe na kipengele cha ukomo na tutapata nini?
Weww na wezi wako wa pesa za escrow hao wote hamna hoja zaidi ya viroja
 
Uelewa wetu wa mikataba ni mdogo sana. Hakuna anayeweza kuuza bandari, TICTS walikaa hapo miaka 22 na wameondoka mwaka jana, hawa ni wapangishaji tu.

Ni sawa na nyumbani kwako mtu aje apangishe, kuna siku ataondoka na kukuachia nyumba na utatafuta mpangaji mwingine,

Hawawezi kuwa na uhalali wa kumiliki bandari zote kwa sababu miezi hii ya mwishoni mwa mwaka huu anakuja mwekezaji mwingine na ataendesha magati namba tisa mpaka namba kumi na mbili, pia atakuja mwekezaji mwingine atakabidhiwa bandari ya Bagamoyo.

Ina maana hao wote watakuwa na vipengele kwenye mikataba yao vinavyowapa uhuru wa kumiliki ardhi yetu milele?. Uelewa wetu ni tatizo pana sana.
 
Wametoa hoja gani? Wana hata iyo moral authority ya kufanya hayo? Wanadhani tumesahau walivyokula pesa za escrow?
Si wamendika wakipinga baadhi ya vipengele vya mkataba? Kwa nini huvipangui unatoa tu "blanket statment". Chambua walichosema point moja baada ya nyingine hapo ndipo nitakapokuelwa. Otherwise what you are saying is "thin air".
 
Kwani shida ni nini watu wakihoji wasipewe majibu? Si kuna vipengele wadau wamesema vina matatizo? Mbona hivyo vipengele hamjaeleza vina maana gani nyie wasemaji wa/mnaoisemea serikali? People have the right to question and the legitimate expectation from the state authority/its agencies to be given the answers.
 
BARUA YA WAZI KWA RAISI WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA LA KATOLIKI TANZANIA DR GERVAS NYAISONGA; KUFUATIA SAKATA LA UWEKEZAJI WA BANDARI KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA SERIKALI YA UMOJA WA FALME ZA KIARABU


0755988284.
Nyie ndio mnaotumalizia umeme tu.

Umeme juzi umekatika tu ghafla.

Tatzo ni wewe.

Yaani umeandika meengi ambayo hata hayahusiani na mjadala huu,

Umechaji simu ikajaa ukaja kuandika mambo ya hovyo,
Unaharibu umeme tu.

Mpango wako ni kuwachafua hao TEC lakini hujapangua hoja.

Ngefurahi kama ngeona umeleta hoja mezani ili tupate kujua ni upande upi (wenye kuunga mkono mkataba na wenye kupinga mkataba) ambao unahoja zilizo bora zaidi.

Wewe unaunga mkono mkataba, ila ni kwasababu wewe ni Chama chako tu kiko madarakani, ila siyo kwasababu una hoja.

Unahujumu uchumi wa nchi hii kwa kuharibu umeme.

Siyo vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…