Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Umeniwahi nilitaka niseme hivyo sababu kuna marobot ambayo kila mada yoyote ya siasa inabidi yachangie tena kwa kuongea kitoto. mtu anaongelea mambo ya mwinyi wakati kilikuwa chama kimoja. je wakati wa nyerere tulipigia nini kama siyo kivuli na mtu? Watu tulitolewa mashuleni mwaka 75 wakati hata miaka 18 bado kumpigia nyerere. For the first time hakufikisha asilimia 60 ya ndiyo sababu vijana walimjibu.We ni mtu au ndiyo marobot ninayoyasikia yapo kwenye mitandao, maana comment zako ni kama kitu flani kipo programmed hivi?
Nipo mkuuDogo ulipoteaga wapi?
Sema sisi makondoo. Iran inavyoogopwa watu wameamua kuingia barabarani, Hong Kong ambapo wachina wanatawala vijana wameamua lakini hapa kwetu wanaogopa ya Akwillina. Wamuulize Martin Luther KIng jr. alipata vipigo vingapi kabla ya kuuawa na je aliacha kutafuta haki ya watu weusi? Demokrasia haipatikani kwa kukaa ndani hasa kwa vijana.Wanafanya yote haya sababu washatujua watanzania ni wanyonge sana, hatuna cha kuwafanya.! Wanaamua lolote walitakalo tu
Mbaya zaidi mavijana ya CCM ndiyo hasa vinara wa kulibomoa li CCM lao.Leo ndio wanafanikisha swala lao la kurusha bomu mochwari na kujisifia wameua.
Matakataka katika ubora wenu/ Maiti zinazotembeaTanzania Nchi ya Amani
Unapiga kura unarudi nyumbani bila hata nyasi kuumia
Najivunia kuwa Mtanzania mzalendo
Mkuu wapi hiyo?
hawajaleta washawasha?
Umechagua fungu jemaJapo wanasema ya kaisari mpe kaisari ila kwa hili bora nichague kwenda kwa Mungu kusali najua ntapata baraka
ili wamshambulie nani ? watu hawana habari kabisa !hawajaleta washawasha?
Mhu wakikosa watu watavunja vibanda vya watu.ili wamshambulie nani ? watu hawana habari kabisa !