Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Wananchi wasema "Hatuelewi"
Baadhi ya Wananchi waliofika kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa leo hii Jumapili, Nov. 24 katika kituo cha Mwananyamala Kisiwani, Kinondoni, jijini Dar es Salaam wamesema hawaelewi kinachoendelea, kwani hawajapiga kura hadi muda huu.
"Hapa ndio mahali tulipojiandikisha kupira kura, lakini hakuna kinachoendelea hakuna wasimamizi waliofika hapa"
"Tangu tumefika asubuhi hadi sasa hivi majira ya saa mbili hakuna kinachoendelea"
#LiveCloudsTV
#UchaguziSerikaliZaMitaa
#KutokaKinondoni