Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Wananchi wasema "Hatuelewi"

Baadhi ya Wananchi waliofika kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa leo hii Jumapili, Nov. 24 katika kituo cha Mwananyamala Kisiwani, Kinondoni, jijini Dar es Salaam wamesema hawaelewi kinachoendelea, kwani hawajapiga kura hadi muda huu.

"Hapa ndio mahali tulipojiandikisha kupira kura, lakini hakuna kinachoendelea hakuna wasimamizi waliofika hapa"

"Tangu tumefika asubuhi hadi sasa hivi majira ya saa mbili hakuna kinachoendelea"

#LiveCloudsTV
#UchaguziSerikaliZaMitaa
#KutokaKinondoni

FB_IMG_1574584726448.jpg
FB_IMG_1574584730446.jpg
 
We ni mtu au ndiyo marobot ninayoyasikia yapo kwenye mitandao, maana comment zako ni kama kitu flani kipo programmed hivi?
Umeniwahi nilitaka niseme hivyo sababu kuna marobot ambayo kila mada yoyote ya siasa inabidi yachangie tena kwa kuongea kitoto. mtu anaongelea mambo ya mwinyi wakati kilikuwa chama kimoja. je wakati wa nyerere tulipigia nini kama siyo kivuli na mtu? Watu tulitolewa mashuleni mwaka 75 wakati hata miaka 18 bado kumpigia nyerere. For the first time hakufikisha asilimia 60 ya ndiyo sababu vijana walimjibu.
 
Jiwe na Jafo wamepigia wapi kura zao, au kwao walishapitishwa na muzimu tamisemi
 
Nadhani kuna baadhi ya mitaa Ccm ilipita bila kupingwa kutokana na baadhi ya Wapinzani kujitoa
 
Wanafanya yote haya sababu washatujua watanzania ni wanyonge sana, hatuna cha kuwafanya.! Wanaamua lolote walitakalo tu
Sema sisi makondoo. Iran inavyoogopwa watu wameamua kuingia barabarani, Hong Kong ambapo wachina wanatawala vijana wameamua lakini hapa kwetu wanaogopa ya Akwillina. Wamuulize Martin Luther KIng jr. alipata vipigo vingapi kabla ya kuuawa na je aliacha kutafuta haki ya watu weusi? Demokrasia haipatikani kwa kukaa ndani hasa kwa vijana.
 
Ikiwa leo ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na zoezi linaendelea vizuri Watanzania wakipiga kura kuwachagua viongozi wao watakaowaongoza kwa miaka 5 ijayo.

Uandishi usio na weledi na kuripoti habari kishabiki kunakofanywa na vyombo vya habari vya mabeberu (main stream media) kumeanza.

Tuwe makini na tumpuuze na huyu mtu.
 
Back
Top Bottom