Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Mimi nipo zangu kwenye basi, sijui hata kama kuna uchaguzi! 🙊
 
Wadau jf naomba tutumie fursa yetu kikatiba kwa kwenda kuwachagua viongozi wetu katika ngazi ya mtaa.sasa hivi napoandika huu uzi Ni saa nne na dakika nne asubuhi Hali ya hewa Ni nzuri kabisa pia Hali ya usalama kwa ujumla Ni shwari kabisa.
 
Wadau jf naomba tutumie fursa yetu kikatiba kwa kwenda kuwachagua viongozi wetu katika ngazi ya mtaa.sasa hivi napoandika huu uzi Ni saa nne na dakika nne asubuhi Hali ya hewa Ni nzuri kabisa pia Hali ya usalama kwa ujumla Ni shwari kabisa.
Nani ana muda wa kujila si bora nikabeti naweza piga mshindo wangu nikapata ya kula bata jioni
 
*Tanzania, Democracy in Action: As Millions Elect Local Government Leaders Today*

*Correspondent, Asia Cronicle, NAIROBI, Kenya*

More than 19 million Tanzanians are today out on ballots casting their vote to elect local government leadership; a demonstration of democracy from the grassroots.

The election is expected to be peaceful as is the tradition in Tanzania; East Africa's most peaceful economy.

11 opposition parties are participating in this election hoping to replace the governing party in the many streets, villages and sub-villages, or retaining some of their won seats in 2014, despite some boycotting the election.

Political analysts reveal that elections in Tanzania are generally competative but end up all peaceful unlike other countries in Africa.

"Some opposition parties are not participating but the reasons are known; most were not prepared to participate. Remember these are local governments where you need to have firmly established your roots down the villages whilst most political parties are predominantly urban based," says Prof. Ahmed Muhiddin.

The Minister for Local Government in Tanzania, Suleiman Jaffoh told reporters in Dodoma that the country was ready for today's election.

Local government elections are a great manifestation of democracy from the grassroots and more than 12,000 villages will participate.

"A great showcase of democracy indeed--We wish Tanzanians all the best," says Prof. Muhiddin, a political scientist
 
Bila shaka TBC watakuwa live kwa tukio kubwa la kitaifa , la kihistoria kufatia juhudi za JPM, ccm inaweka historia kwa ushindi wa 99.9%
TBC hawatokua Live kwenye uchaguzi bali watakua Live jamaa akiwa anapokea gawio yawezekana hujaona ile taarifa ya ikulu kuhusu kuwasimamisha kazi RPC na Meneja wa TRA Shinyanga mkuu mwishoni wakamalizia kwamba TBC itakua Live kwenye hafla hio
 
IMG_20191124_101432.jpg
 
Cha ajabu ni kuwa kesho matokeo yote yatakuwa yashatangazwa. Na 90% yatatangazwa leo usiku na turnup itatangazwa kuwa ni 80% ni zaidi ya turnup kama vyama vyote vingeshiriki lakini bado kura zitachukuwa masaa machache tu kuzihisabu na kutangaza mshindi, kwa sababu hakutokuwa na KUCHAKACHUWA!
 
Back
Top Bottom