Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Uchaguzi Mkuu
Hahaaaaaa[emoji41] ,hivi ni Uchaguzi au Uchafuzi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaa[emoji41] ,hivi ni Uchaguzi au Uchafuzi ?
Itakuwa ndotoni hukoNipo hapa foleni ni kubwa mno
Kinamama wanafuraha hapa kina baba wametulia
Vijana pia wapo kwa wingi mno
Nitaleta picha
Ww mm ninauhakika washikishwa ukutaKuna vyama 11 Mkuu vinashiriki
Kituo gani MKuuTupo vituoni Mkuu foleni inatembea
Nani ana muda wa kujila si bora nikabeti naweza piga mshindo wangu nikapata ya kula bata jioniWadau jf naomba tutumie fursa yetu kikatiba kwa kwenda kuwachagua viongozi wetu katika ngazi ya mtaa.sasa hivi napoandika huu uzi Ni saa nne na dakika nne asubuhi Hali ya hewa Ni nzuri kabisa pia Hali ya usalama kwa ujumla Ni shwari kabisa.
TBC hawatokua Live kwenye uchaguzi bali watakua Live jamaa akiwa anapokea gawio yawezekana hujaona ile taarifa ya ikulu kuhusu kuwasimamisha kazi RPC na Meneja wa TRA Shinyanga mkuu mwishoni wakamalizia kwamba TBC itakua Live kwenye hafla hioBila shaka TBC watakuwa live kwa tukio kubwa la kitaifa , la kihistoria kufatia juhudi za JPM, ccm inaweka historia kwa ushindi wa 99.9%
Hapa Dodoma mambo yametulia kabisaUfipa
Nipo hapa foleni ni kubwa mno
Kinamama wanafuraha hapa kina baba wametulia
Vijana pia wapo kwa wingi mno
Nitaleta picha
Hii Ndio Tanzania ya amani
Unapiga kura unarudi nyumbani bila hata nyasi kuumia
Najivunia kuwa Mtanzania mzalendo