Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri kungekua na tume huru na uchaguzi ungekuwa huru CCM wangeshinda miaka yote hii,CCM wanatumia wizi,ghilba,fitna na Nongwa kuweza kushindaTangu 1995 wimbo ni huu huu. Haipendwi, Haipendwi Ila wao ndo bado wanaongoza halafu 2020 dalili ni ndogo sana za kushindwa kuendelea kuongoza.
CCM imetangazwa Kushinda bila uchaguzi kwenye mikoa ya Yanga, Katavi Na Ruvuma.
Hapo Ulipo Hali ikoje?
Tiririka
Mkuu TBC walifanya kazi ya hamasa kwa makala nchi nzima siko zote, sijaona hata picha ya kituo cha uchaguzi leo.Sina hakika nao wamegoma bali wameepusha aibu.Tumepiga kura kwa wingi mno
Subiri jioni watu wajumlishe
mnaitia najisi nchi mnajiona miunguwatu. siku zinakuja mtajuta sana.Tumepiga kura kwa wingi mno
Subiri jioni watu wajumlishe
Hapo wapi, hapana jinaNipo hapa foleni ni kubwa mno
Kinamama wanafuraha hapa kina baba wametulia
Vijana pia wapo kwa wingi mno
Nitaleta picha
Hawawezi kuonyesha mubashara ni aibu. Tusibiri mpaka wahaririKazi ya TV yetu pendwa ilitakiwa kutujuza ya vituoni leo
Wapinzani Mbona mnavurugu sana
Kuna mkoa unaitwa Yanga?
Yanga ndiyo mkoa gani
CCM imetangazwa Kushinda bila uchaguzi kwenye mikoa ya Yanga, Katavi Na Ruvuma.
Hapo Ulipo Hali ikoje?
Tiririka
Sasa nani anataka kuongozwa na wa aina hii? Yaani imeshindikana kushawishi majeshi ya ulinzi na usalama watoe sapoti itawezekana kuendesha nchi? Mbona wananchi wanajaa kwenye mikutano na huwa mnasema hamuwaongi waje? Kama wananchi wanavyoshawishika kwenye mikutano bila hela, basi washawishini na majeshi na usalama wawalinde msiibiwe. Kama hamuwezi hilo tulieni muendelee kulalamika huku wengine wakiongoza hata kama mnaibiwa. Kazi kuimba Wizi wizi wizi tangu 95 hakufanyiki lolote.Unafikiri kungekua na tume huru na uchaguzi ungekuwa huru CCM wangeshinda miaka yote hii,CCM wanatumia wizi,ghilba,fitna na Nongwa kuweza kushinda
Watanzania kulalamika Ndio zao
Hata ukiwapa chakula watasema hakina chumvi
Bosi wao ajaendapiga au mgombea wake kapitishwa bila kupingwaHawawezi kuonyesha mubashara ni aibu. Tusibiri mpaka wahariri
Hii Ndio Tanzania ya amani
Unapiga kura unarudi nyumbani bila hata nyasi kuumia
Najivunia kuwa Mtanzania mzalendo