Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama vyama pinzani vilijiondoa, wakabaki ccm wenyewe, hiyo 1% ilienda wapi? Ina maana wana ccm wenyewe hawaitaki ccm
Hongera ccm hakika ni ushindi wa kishindo.Hio 0.1% imeenda kwa naniWaziri SULEIMANI JAFO anamwaga nondo. CCM imeshinda kwa asilimia 99.9.
Karibuni
State agent
Rasmi tumerudi chama kimoja. Mitaa yote Tanzania ni CCM,inaleta picha kuwa majimbo yote Tanzania 2020 yatakuwa CCM.Chama Cha Mapinduzi kimeibuka Kidedea katika Vijiji 12,260 sawa na Aslimia 99.9, pia kimeshinda katika Mitaa 4263 sawa na Asilimia 100, huku kikijinyakulia Vitongoji 63,970 sawa na Asilimia 99.4. Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo akitangaza matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa .
Actually ni 0.1% . Hawakutaka kuita 100% tu.Sasa kama vyama pinzani vilijiondoa, wakabaki ccm wenyewe, hiyo 1% ilienda wapi? Ina maana wana ccm wenyewe hawaitaki ccm
Waziri SULEIMANI JAFO anamwaga nondo. CCM imeshinda kwa asilimia 99.9.
Karibuni
State agent
Vyama ulivyovitaja walisha jiondoa na wakasema viongozi watakaogombea kinyume na maagizo wasitambuliwe.
Sasa kama kuna ambaowamegombea wata kuwa wanawakilisha chama gani wakati chama kimewakataa?
Acha unafiki! Mwambieni mwenyekiti wenu ukweli na sio kumnanga kisogo! Hakuna anayemkubali yeye Wala ccm anayoiongoza na utashangaa 2020 mtakapoangukia matako!Rasmi tumerudi chama kimoja. Mitaa yote Tanzania ni CCM,inaleta picha kuwa majimbo yote Tanzania 2020 yatakuwa CCM.
Kinashindaje kidedea sasa.. mbio ukimbie mwenyewe afu ujisifu una mbio..
Idiot