Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Kinashindaje kidedea sasa.. mbio ukimbie mwenyewe afu ujisifu una mbio..
Idiot
 
Sasa kama vyama pinzani vilijiondoa, wakabaki ccm wenyewe, hiyo 1% ilienda wapi? Ina maana wana ccm wenyewe hawaitaki ccm

Kuna maeneo ACT, Chadema na CUF wamegawana mitaa

Aisekubali kushindwa sio mshindani

Cha Msingi umeisha salama
 
Chama Cha Mapinduzi kimeibuka Kidedea katika Vijiji 12,260 sawa na Aslimia 99.9, pia kimeshinda katika Mitaa 4263 sawa na Asilimia 100, huku kikijinyakulia Vitongoji 63,970 sawa na Asilimia 99.4. Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo akitangaza matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa .
Rasmi tumerudi chama kimoja. Mitaa yote Tanzania ni CCM,inaleta picha kuwa majimbo yote Tanzania 2020 yatakuwa CCM.
 
Inachokifanya CCM ni sawa na kupiga punyeto, unaweza kulala na mwanamke yeyote utakayemvuta kwenye hisia na ukakojoa bila wasiwasi hata Mara tano, tunaita ubakaji wa demokrasia
 
Pohamba,

Vyama ulivyovitaja walisha jiondoa na wakasema viongozi watakaogombea kinyume na maagizo wasitambuliwe.
Sasa kama kuna ambaowamegombea wata kuwa wanawakilisha chama gani wakati chama kimewakataa?
 
Nakuona umeshapiga suti yako kusherehekea ushindi
Waziri SULEIMANI JAFO anamwaga nondo. CCM imeshinda kwa asilimia 99.9.

Karibuni

State agent
tapatalk_1574537881507.jpeg
tapatalk_1567662891357.jpeg
 
Vyama ulivyovitaja walisha jiondoa na wakasema viongozi watakaogombea kinyume na maagizo wasitambuliwe.
Sasa kama kuna ambaowamegombea wata kuwa wanawakilisha chama gani wakati chama kimewakataa?

Mimi nimenukuu tu
 
Rasmi tumerudi chama kimoja. Mitaa yote Tanzania ni CCM,inaleta picha kuwa majimbo yote Tanzania 2020 yatakuwa CCM.
Acha unafiki! Mwambieni mwenyekiti wenu ukweli na sio kumnanga kisogo! Hakuna anayemkubali yeye Wala ccm anayoiongoza na utashangaa 2020 mtakapoangukia matako!
 
Kinashindaje kidedea sasa.. mbio ukimbie mwenyewe afu ujisifu una mbio..
Idiot

Jafo aache kuwakebei na kuwafanya Watz hawana akili...!!!
Mtu anashindaje 99.99% kwenye ulingo wa masumbwi ilhali wapinzani wote kawafunga kamba mikononi??
 
Msanii,
Haya tunawapongeza kwa ushindi wa kisulisuli, sasa tunataka kuona mnaleta maendeleo nchini kwa 100% hakuna tena visingizio wa kuwakwamisha wote out mmebaki pekee yenu
 
CCM imeingia kwenye dunia ya maajabu ya walioshinda uchaguzi kwa karibu asilimia 100.Kwenye hilo group wapo kina Saddam Hussein,Kim Jong-Un,Bashir,Al Assad,Raul Castro;
 
Mimi nataka Kujua Walijiandikisha Wangapii ? Walio piga Kura ni Wangapii? Huo ushindi mlishaupata toka mlipo anza kufunga Ofisi
 
"Any election win with more than two-thirds of the votes should raise suspicions, because it is so unusual in a free and fair election, he says. A number within the 60-80% range might signal a fragmented opposition - in South Africa, the African National Congress regularly gains votes in the high 60s."
Thomas Lundberg-University of Glasgow
 
Hayo si ya utani, wameshaanza kuwa harass walio tofauti na wao. UVCCM wameanza kupora viwanja vya wasio wa kwao! Wanasema tumepata kibali na mkuu wa wilaya kuonea! Tunatokea kwenye mgogoro sasa hivi..... kuhusu viwanja
 
Back
Top Bottom