mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Kanisa na Wakristo walipiga vita sana kuhesabiwa kwa dini kwenye sensa, ni kwa sababu wakijua waislamu ni 80%wataadhirikaNani alikudanganya kuwa bara Wakiristo ni wengi kuliko Waislamu?-
Kwahiyo kwa list hii huwezi kuwasikia wale wafia dini waliokuwa wakisema kuhusu uchaguzi wa uvccm kuwa Kuna udini...Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Jamaa wabinafsi sanaaa,LEO HAZISIKIKI KELELE ZA UDINI π π π
Waislamu walivyotaka tuhesabiwe kidini kwenye sensa wakristo mlipinga sanaaaa,
Hizo data mmetoa wapi?
Ukweli waislamu ni 80% ukibisha mchawi
Tuanzishe kampeni hapa tuhesabiane tuone nani watapingaWala jilishe upepo tu ni vile nchi haina dini lakini angalia majority ya waislamu kwa Zanzibar haifiki milioni mbili, hiyo iwe sample kwa mikoa yote uone kama idadi ipi ni wengi
Lini Nyerere alikataa Rais Mhaya?Rais Mhaya Nyerere Alisha kataa hawachelewi kuishi asili yao.
Siyo kweli.Hans Macha
Mwenye Bureau zakutosha hapa mjini.
Mwenye Hisa 1.3%CRDB kapitishwa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na 2030 mhaya ndani watake wasitakeLini Nyerere alikataa Rais Mhaya?
Yap ni Kama tu Kenya ilivyo Mombasa,Lamu ,Malindi kwingine kote ni christians.Tanga, mtwara, Lindi, pwani, ( hapo majority ni muslimus) Dar wako karibu nusu kwa nusu mikoa mingine yote majority ni wakristo yaani uislamu utaukuta either wilaya moja tu mfano tabora ni mjini, kigoma ni mjini, lakini ukweli ni huo na njoo kwenye sensa uone hiyo mikoa ambayo majority wakristo utapata jibu rahisi tu.
Pigo kwa sukuma group( gang)Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Duh! Kumbe macha ni tajiri. Kampuni zake zinaitwaje?Hans Macha
Mwenye Bureau zakutosha hapa mjini.
Mwenye Hisa 1.3%CRDB kapitishwa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mbona hata hii list imejaa kanda ya ziwa Wambura,Bashungwa,mabula,Gwajima,Makungu!Kelele za udini tuachane nazo kabisa zitatugawa ni kawaida kila kiongozi kuweka watu anaoona wanamfaa kama magu alivojaza lakezone kwenye nafasi nyingi
Tajiri wa kweli haridhiki. Si unakumbuka enzi zile Diallo ?Alivyokosa nafasi serikalini biashara zikayumba.Kuna raha yake kuwa tajiri na huku una vyeo vya kisiasa. NEC unakaa kikao na Rais ,hata ukiwa na jambo lako unaweza muambia ana kwa ana.Aisee mi nikishabeba hela za maana siwezi kuwa mwanasiasa.
Labda anafanya hivyo kwa ajili ya ulinzi zaidi, kuheshimiwa zaidi, kujulikana zaidi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Naona lengo limetimia....haijawa hivi kwa bahati mbaya...na the fact kwamba mnajadili hili jambo, ma master planners wanafurahi sana...manake now Ngoma Draw...sasa sikilizia muziki huko mbeleni...mtafurahi na roho zenu za kuabudu.Walivyoteuliwa waislam wengi majuzi mijadala mikali ililetwa humu JF na huyu mdini sana mwenye chuki dhidi ya waislam bwana technically akasema ule ulikua ni udini
Sasa leo yametoka haya majina hata hajalalamika hii inaonyesha dhahiri shahiri kwamba humu jf kuna watu wana chuki sana dhidi ya uislamTuseme ukweli, uchaguzi wa CCM uliofanyika una viashiria vya udini
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini. Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu. Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu...www.jamiiforums.com
Wao kwa akili zao fupi fupi hivi wanadhani kuuchukia uislam na waislam itasaidia?Wajuwe watakufa wakiiacha hii dini ikikua kwa kasi duniani
Tuacheni udini na ukabila hauna faida yoyote humu duniani
Haya majina ndo haya mbona hawajafungua vinywa vyao?
Wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Hivi bureau zilisharuhusiwa? Huyo kasesera bado ni mkuu wa wilaya? Si ndio yule anaetukana watu hadharaniHans Macha
Mwenye Bureau zakutosha hapa mjini.
Mwenye Hisa 1.3%CRDB kapitishwa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wamesema sio huyu Macha Tajiri wa KkooDuh! Kumbe macha ni tajiri. Kampuni zake zinaitwaje?
Wafukua mafaili akina bagamoyo na kikosi chako tunawategemea mtuletee mafaili yote na video za hao watu wote wa nec ambao sio maarufu ila wana HELA [emoji120][emoji120][emoji120]