Mjaribu tuone ๐นAkhuuu hawa wa hivi nawajua ukimpa anakimbia๐๐
Uvivu wa kuwa saidia fundi tuMuacheni mkuu pesa yake haina kazi
Amechelewa sasa siwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja hata Biblia imekataza๐Mjaribu tuone ๐น
Mpaka nimepaliwa na chakula ๐๐๐ahahahUvivu wa kuwa saidia fundi tu
Ila jf ukienda nayo vizuri kwa week unapata mtaji kabisa alie waroga kafaMjaribu tuone ๐น
Yaan kaona kuonesha tumbo halitoshi kaamua kupost na komwe lake kama kona ya kiaziItakua ni mgeni wa jiji amekuja kupost apate wachumba jf๐คฃ
Kigezo cha kwanza cha jf ni kuwa anonymous, yeye anakuja kichwa kichwa, nyumbu kwenye mto wenye mamba anashindwa Kufikiria kuna siku anaweza fanya mistake ikam-cost baadaeMpaka nimepaliwa na chakula ๐๐๐ahahah
Watu wa humu wote ni wanafanya kazi masijala siku akianzisha ugomvi kujifanya anaijua jf mtu wa masijala anakuja na file lake mbele za watuKigezo cha kwanza cha jf ni kuwa anonymous, yeye anakuja kichwa kichwa, nyumbu kwenye mto wenye mamba anashindwa Kufikiria kuna siku anaweza fanya mistake ikam-cost baadae
Kitendo cha ku-expose tu picha yake humu inatakiwa awe makini na kauli zake sana
๐๐๐ Hata Mimi mwenyewe sipigi hivi, mbele ya usimamizi wa wale Fisi na Wavuvi Haram, ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Unautani na Wapoti zao za kwenye godoro๐๐Push up 200 kwa siku .Ndani ya mwezi ndio zitoe Matokeo hayo? Ulikua na mwili Gani Awali.? Vinginevyo labda ni push up za kike au za kama polisi.
Huyu mvivu anakufaa Manka.Cc Fake P ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Raha uwe na hela..sio kapuku.
Watoto wa Elfu mbili 2000 mna shida sana.
Na hajatoa karatasi la godoro๐๐๐ Hata Mimi mwenyewe sipigi hivi, mbele ya usimamizi wa wale Fisi na Wavuvi Haram, ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Unautani na Wapoti zao za kwenye godoro๐๐
Huyu mvivu anakufaa Manka.
Ukiwa Serious na kila kitu Chakula na Mazoezi Mwezi tu mwili wa michezo unaonekanaUnaichukua muda mzee mwili kuwa wa athletic
Hao Wavuvi haramu Washenzi sana fata route route uende wewe au iende Buku beee yako ๐๐๐๐๐๐ Hata Mimi mwenyewe sipigi hivi, mbele ya usimamizi wa wale Fisi na Wavuvi Haram, ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Unautani na Wapoti zao za kwenye godoro๐๐
Eti nahisig huyo ulomtaja ni "flower girl" ..haishi thread.zote za mahusianoMbona wewoooo ๐น
Mambo ya 6 pack mkuu.!!
Binti Sayuni03 kuna mchumba huku kijana achana na wababa mdogo angu ๐คฃ๐น
AjaMpata anae mtaka mpak sasaEti nahisig huyo ulomtaja ni "flower girl" ..haishi thread.zote za mahusiano
Hii sasa ndio jf mkuu soon tunakupa ukuu wa idara ya masijala unafaa kabisaMwachiluwi ukiangalia kwa makini hapo kwenye profile yake nida yake umeandikwa 2004 so he is about 21 of age mdogo wetu tumsamehe tu
JF kichaka chenye wanyama wakali ๐น๐นEti nahisig huyo ulomtaja ni "flower girl" ..haishi thread.zote za mahusiano
Umemwelewa huyo demu? .unik flawa๐AjaMpata anae mtaka mpak sasa