Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

Kwani ukipata ajali ata usipopewa refund Kuna yoyote anaehusika Na Wewe? Kwann suala la bima lisibaki kama optional
 
Sisi tusiokwenda shule tumefuatilia,wewe una hoja ya msingi,na wao wana hoja ya msingi kulingana na wanachojua,tumechuja,mwisho imeonekana kuna kitu tunaweza kufanya.

Hili jambo linahitaji kiongozi mzalendo kama marehemu,sasa najiuliza hakuwahi kukijua hili? Kwa ninavyomjua kwanini hakuchukua hatua?

Anyway nimejifunza kitu kwa wote waliochangia huu mjadala.
 
Daah!...[emoji119][emoji119]
 
[emoji120][emoji106]
 
Kweli watahujumu,shida inakuwa ipo palepale
 
Huyu mleta mada ni wakupuuza tu, amekalia ubishi na kujifanya mzalendo bila kuruhusu kichwa kuelewa mambo asiyoyajua.
 
You're a conservative sorry to say, uzalendo wa mdomoni bila kutumia akili ni sifuri. Watu wanakupa shule ila wewe umajikita kwenye ubishi tu bila kuwa na data.

Nakuongezea information nyingine, kampuni nyingi za bima kama sio zote (hapa Tanzania) ukiangalia vitabu vyao zinafanya hasara kwenye hizi bima za magari ila zinafidia kwenye bima zingine.

Kabla hujaja kuandika mada kama hizi, fanya research vizuri na uruhusu kichwa chako kuelimishwa
 
Kwani ukipata ajali ata usipopewa refund Kuna yoyote anaehusika Na Wewe? Kwann suala la bima lisibaki kama optional
Kama hii kodi ya ‘third party’ itabadilishwa kuwa optional then mimi sina tatizo, ila kwakuwa inalazimishwa, then si biashara, hakuna biashara ya kulazimishana, hii kodi ianze kuwasilishwa seriaklini
 
Sasa kama biashara inaingiza hasara maana yake si unatakiwa uifunge au? Ukiona mtu anakupa mahesabu ya hasara halafu hafungi biashara maana yake kuna kitu anapata, hivi Tz kuna vyombo vya moto vingapi? Minimum compulsory third party fee ni kiasi gani, malipo kwa madai ya third party ni kiasi gani? Sasa hiyo hasara ni ya kuzimu au ya wapi? Sasa basi, kodi hii ya ‘third party’ inayoshurutishwa ianze kupelekwa serikalini, si haki kulazimisha raia kuchangia wahindi na wazungu matrilioni kila mwaka huku tukikopa kama mataahira watembea uchi..
 
Kweli watahujumu,shida inakuwa ipo palepale
Bahati nzuri Nimeshafafanua hili kwa kirefu kwenye post za nyuma. Ni muda muafaka sasa, serikali ikapokea kodi yake halali, ili waache kukopa kama mataahira waliorogwa kwa mara ya 6
 
Muda muafaka ndio huu sasa, kodi ya ‘Third party’ ianze kuwasilishwa serikalini
 
Kuwe na uhuru wa kulipa, ni mwaka wa nane nalipa bima kujaza matumbo ya watu
Na kama itaendelea kuwa lazima, basi pesa hii iende serikalini ila wakaongeze vitanda vya kujifungulia mahospitalini
 
Kuwe na uhuru wa kulipa, ni mwaka wa nane nalipa bima kujaza matumbo ya watu
Mkuu hujawahi kulazimishwa kukata bima ya afya, moto, safari, biashara au ya maisha, why? Kwa sababu athari za hizo bima ni ZA KWAKO WEWE na ndio maana kukata ni hiari. Bima ya gari licha kukulinda wewe na gari lako inawalinda pia watumiaji wengine wa barabara na miundombinu. Kama hutaki kukata bima kwa ajili yako na gari lako kuna option ya kukata THIRD PARTY INSURANCE. Maana yake ni kwamba kama wewe unaona hakuna umuhimu wa bima, sheria inataka watumiaji wengine walindwe, ndio maana ya third party insurance. Third party insurance haiwezi kuwa hiari. Mtu ambaye haoni umuhimu wa kukata bima yake mwenyewe ataonaje umuhimu wa kukata kwa ajili ya kulinda wengine? Ndio maana ni lazima.
 
Kwani nani kabisha hilo?! Tunachomsema ni kwamba hii kodi ya ‘third party iwasilishwe serikalini’ maana ni lazima na sio hiari, huwa hakuna kulazimishana kwenye biashara, na thirdparty yeyote atakaekuwa na madai atalipwa na serikali kupitia shirika la bima la taifa
 
Ni muda muafaka sasa kodi ya ‘third party’ ikaanza kuwasilishwa serikalini
 
Tunaaubiri kwa shauku kubwa kodi ya ‘third party’ kuanza kuwasilishwa serikalini
 
Bima ni kama pyramid schemes nyingine tu ... hawa mawakala.. ni mawakala wa mawakala... wa mawakala.. unakuta hela ya mwisho inaishia kwa makampuni ya nje mengi ni toka marekani kama jpmorgan AIG etc
Serikali hapo inashikilia kodi na securities
 
Bima ni kama pyramid schemes nyingine tu ... hawa mawakala.. ni mawakala wa mawakala... wa mawakala.. unakuta hela ya mwisho inaishia kwa makampuni ya nje mengi ni toka marekani kama jpmorgan AIG etc
Serikali hapo inashikilia kodi na securities
Ndio tunapendekeza sasa, kodi ya ‘third party’ iwasilishwe serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…