Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukipata ajali ata usipopewa refund Kuna yoyote anaehusika Na Wewe? Kwann suala la bima lisibaki kama optionalNimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na ukitoa gharama za uendeshaji utaona inabaki kama trillion 3 hivi.
Sasa najiuliza, hii pesa tunayolazimishwa na matrafiki police huku barabarani kwamba ni lazima tulipe, inaenda serikalini na makampuni kubaki na comission tu au yote inaenda kwa haya makampuni ya Bima?!
==========================
Sasa ninachopendekeza ni hiki, bima zote za third party zilipwe serikalini kupitia wakala wa bima wa taifa, na malipo yatafanywa na wakala huyo kwa hao third party. Hayo matrillion yakaboreshe huduma za elimu, afya na miundombinu. Ifike mahala tuache kukopa wakati matrilioni yanabebwa na hawa wenye makampuni ya bima tena ni wageni, wanaenda kuwekeza kwao huko. Pendekezo ni hilo, sheria husika zirekebishwe ku-accomodate mtazamo huu mpya, na radical kabisa!
Sisi tusiokwenda shule tumefuatilia,wewe una hoja ya msingi,na wao wana hoja ya msingi kulingana na wanachojua,tumechuja,mwisho imeonekana kuna kitu tunaweza kufanya.Unajua asilimia kubwa ya watu tunaojibizana nao humu hasa kwenye zile hoja nzito nzito zinazogusa maslahi ya walamba asali ni mamluki tu wanaolipwa pesa ndefu kuja kupangua hoja na kuvuruga mijadala yenye muelekeo ya kuwanasua wananchi toka kwenye mitego ya kibepari na kupunguza ujazo wa asali wanayolamba, inafikia wakati hadi unajiuliza, huyu mtu anawaza kwa kutumia ubongo au anatumia makalio?![emoji2375]
Daah!...[emoji119][emoji119]Something you have missed or dont know;
All over the world insurance businesses are not monopolised by governments. Privatisation of insurance business has multiple benefits including job creation, fastness in serving customers (no bureacracy) while government remains a regulator (TIRA) etc.
Hizo premium zikienda serikalini kujenga sgr, compensation nani atalipa? Try to argue like someone who has seen books
[emoji120][emoji106]Third party insurance sio kodi Mkuu, labda mpaka Serikali ibadilishe sheria. Bima hii inamlinda mtu nje ya mkata bima na muuza Bima (ndio maana inaitwa third party). Gari linapita barabarani, kuna watumiaji wengine wa barabara kama magari mengine, waenda kwa miguu na miundombinu kama nyumba n.k. Hawa ndio wanalindwa na hiyo bima na sio mkataji bima. Kwenye situtation kama hiyo mkataji bima hana incentive ya kukata hiyo bima kwani haimlindi yeye na ndio maana ni compusory, ingekuwa ni hiari wenye magari wasingekata hiyo bima hivyo kusababisha niliowataja hapo juu (third parties) kutolindwa. Hao askari sio kwamba wanashurutisha bali wanafanya law enforcement ambalo ni jukumu lao la msingi, kuhakikisha sheria ya bima inafuatwa. Wazo lako kutaka Serikali ikusanye hiyo hela linazungumzika. Tatizo ni kwamba Serikali ina historia ya ku-mismanage biashara au aina yoyote ya makusanyo, mfano mzuri ni kwenye mifuko ya jamii. Ndio maana watu wako sceptical na hiyo idea.
Kweli watahujumu,shida inakuwa ipo palepaleWazo zuri lakini nionavyo mimi Serikali ikiingia hapo makampuni ya bima ambayo wewe unapendekeza wawe mawakala tu ili pesa iingie serikali na wao wapewe comission hayo makampuni watashirikiana na wateja kufirisi huo mfuko wa bima maana watakuwa wakipeleka madai ya watu kulipwa kila day mpaka mfuko ufirisike
Huyu mleta mada ni wakupuuza tu, amekalia ubishi na kujifanya mzalendo bila kuruhusu kichwa kuelewa mambo asiyoyajua.Something you have missed or dont know;
All over the world insurance businesses are not monopolised by governments. Privatisation of insurance business has multiple benefits including job creation, fastness in serving customers (no bureacracy) while government remains a regulator (TIRA) etc.
Hizo premium zikienda serikalini kujenga sgr, compensation nani atalipa? Try to argue like someone who has seen books
You're a conservative sorry to say, uzalendo wa mdomoni bila kutumia akili ni sifuri. Watu wanakupa shule ila wewe umajikita kwenye ubishi tu bila kuwa na data.‘Third party’ ni kodi iliyofichwa kwenye bima, otherwise haipaswi kuwa compulsory, mtu aamue mwenyewe, ila so as long as traffic police wanashurutisha watu kulipa hiyo kodi, basi iende serikalini, na kama kuna third party basi atapeleka claims zake serikalini kupitia shirika la bima na atalipwa, makampuni ya bima yaoewe tu comission kidogo (10%) kwa kazi yao ya uwakala wa kukusanya kodi ya seriakali. Sheria zibadilishwe ku-accomodate na ku-adapt na wazo hili jipya kabisa, very radical idea and thinking! Thirdparty zote ni kodi ya serikali, ziende serikalini ili tupunguze kukopa kopa nje kama mataahira au wendawazimu!! Sheria ifanyiwe maboresho!!
Kama hii kodi ya ‘third party’ itabadilishwa kuwa optional then mimi sina tatizo, ila kwakuwa inalazimishwa, then si biashara, hakuna biashara ya kulazimishana, hii kodi ianze kuwasilishwa seriakliniKwani ukipata ajali ata usipopewa refund Kuna yoyote anaehusika Na Wewe? Kwann suala la bima lisibaki kama optional
Sasa kama biashara inaingiza hasara maana yake si unatakiwa uifunge au? Ukiona mtu anakupa mahesabu ya hasara halafu hafungi biashara maana yake kuna kitu anapata, hivi Tz kuna vyombo vya moto vingapi? Minimum compulsory third party fee ni kiasi gani, malipo kwa madai ya third party ni kiasi gani? Sasa hiyo hasara ni ya kuzimu au ya wapi? Sasa basi, kodi hii ya ‘third party’ inayoshurutishwa ianze kupelekwa serikalini, si haki kulazimisha raia kuchangia wahindi na wazungu matrilioni kila mwaka huku tukikopa kama mataahira watembea uchi..You're a conservative sorry to say, uzalendo wa mdomoni bila kutumia akili ni sifuri. Watu wanakupa shule ila wewe umajikita kwenye ubishi tu bila kuwa na data.
Nakuongezea information nyingine, kampuni nyingi za bima kama sio zote (hapa Tanzania) ukiangalia vitabu vyao zinafanya hasara kwenye hizi bima za magari ila zinafidia kwenye bima zingine.
Kabla hujaja kuandika mada kama hizi, fanya research vizuri na uruhusu kichwa chako kuelimishwa
Bahati nzuri Nimeshafafanua hili kwa kirefu kwenye post za nyuma. Ni muda muafaka sasa, serikali ikapokea kodi yake halali, ili waache kukopa kama mataahira waliorogwa kwa mara ya 6Kweli watahujumu,shida inakuwa ipo palepale
Kuwe na uhuru wa kulipa, ni mwaka wa nane nalipa bima kujaza matumbo ya watuUkitaka kuona umuhimu wa bima usilipe uone....
Magari mengi sana hupata ajali na bima hulipia.
Na kama itaendelea kuwa lazima, basi pesa hii iende serikalini ila wakaongeze vitanda vya kujifungulia mahospitaliniKuwe na uhuru wa kulipa, ni mwaka wa nane nalipa bima kujaza matumbo ya watu
Mkuu hujawahi kulazimishwa kukata bima ya afya, moto, safari, biashara au ya maisha, why? Kwa sababu athari za hizo bima ni ZA KWAKO WEWE na ndio maana kukata ni hiari. Bima ya gari licha kukulinda wewe na gari lako inawalinda pia watumiaji wengine wa barabara na miundombinu. Kama hutaki kukata bima kwa ajili yako na gari lako kuna option ya kukata THIRD PARTY INSURANCE. Maana yake ni kwamba kama wewe unaona hakuna umuhimu wa bima, sheria inataka watumiaji wengine walindwe, ndio maana ya third party insurance. Third party insurance haiwezi kuwa hiari. Mtu ambaye haoni umuhimu wa kukata bima yake mwenyewe ataonaje umuhimu wa kukata kwa ajili ya kulinda wengine? Ndio maana ni lazima.Kuwe na uhuru wa kulipa, ni mwaka wa nane nalipa bima kujaza matumbo ya watu
Kwani nani kabisha hilo?! Tunachomsema ni kwamba hii kodi ya ‘third party iwasilishwe serikalini’ maana ni lazima na sio hiari, huwa hakuna kulazimishana kwenye biashara, na thirdparty yeyote atakaekuwa na madai atalipwa na serikali kupitia shirika la bima la taifaMkuu hujawahi kulazimishwa kukata bima ya afya, moto, safari, biashara au ya maisha, why? Kwa sababu athari za hizo bima ni ZA KWAKO WEWE na ndio maana kukata ni hiari. Bima ya gari licha kukulinda wewe na gari lako inawalinda pia watumiaji wengine wa barabara na miundombinu. Kama hutaki kukata bima kwa ajili yako na gari lako kuna option ya kukata THIRD PARTY INSURANCE. Maana yake ni kwamba kama wewe unaona hakuna umuhimu wa bima, sheria inataka watumiaji wengine walindwe, ndio maana ya third party insurance. Third party insurance haiwezi kuwa hiari. Mtu ambaye haoni umuhimu wa kukata bima yake mwenyewe ataonaje umuhimu wa kukata kwa ajili ya kulinda wengine? Ndio maana ni lazima.
Bima ni kama pyramid schemes nyingine tu ... hawa mawakala.. ni mawakala wa mawakala... wa mawakala.. unakuta hela ya mwisho inaishia kwa makampuni ya nje mengi ni toka marekani kama jpmorgan AIG etcNimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na ukitoa gharama za uendeshaji utaona inabaki kama trillion 3 hivi.
Sasa najiuliza, hii pesa tunayolazimishwa na matrafiki police huku barabarani kwamba ni lazima tulipe, inaenda serikalini na makampuni kubaki na comission tu au yote inaenda kwa haya makampuni ya Bima?!
==========================
Sasa ninachopendekeza ni hiki, bima zote za third party zilipwe serikalini kupitia wakala wa bima wa taifa, na malipo yatafanywa na wakala huyo kwa hao third party. Hayo matrillion yakaboreshe huduma za elimu, afya na miundombinu. Ifike mahala tuache kukopa wakati matrilioni yanabebwa na hawa wenye makampuni ya bima tena ni wageni, wanaenda kuwekeza kwao huko. Pendekezo ni hilo, sheria husika zirekebishwe ku-accomodate mtazamo huu mpya, na radical kabisa!
Ndio tunapendekeza sasa, kodi ya ‘third party’ iwasilishwe serikaliniBima ni kama pyramid schemes nyingine tu ... hawa mawakala.. ni mawakala wa mawakala... wa mawakala.. unakuta hela ya mwisho inaishia kwa makampuni ya nje mengi ni toka marekani kama jpmorgan AIG etc
Serikali hapo inashikilia kodi na securities