Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na ukitoa gharama za uendeshaji utaona inabaki kama trillion 3 hivi.

Sasa najiuliza, hii pesa tunayolazimishwa na matrafiki police huku barabarani kwamba ni lazima tulipe, inaenda serikalini na makampuni kubaki na comission tu au yote inaenda kwa haya makampuni ya Bima?!

==========================

Sasa ninachopendekeza ni hiki, bima zote za third party zilipwe serikalini kupitia wakala wa bima wa taifa, na malipo yatafanywa na wakala huyo kwa hao third party. Hayo matrillion yakaboreshe huduma za elimu, afya na miundombinu. Ifike mahala tuache kukopa wakati matrilioni yanabebwa na hawa wenye makampuni ya bima tena ni wageni, wanaenda kuwekeza kwao huko. Pendekezo ni hilo, sheria husika zirekebishwe ku-accomodate mtazamo huu mpya, na radical kabisa!
Kwani ukipata ajali ata usipopewa refund Kuna yoyote anaehusika Na Wewe? Kwann suala la bima lisibaki kama optional
 
Unajua asilimia kubwa ya watu tunaojibizana nao humu hasa kwenye zile hoja nzito nzito zinazogusa maslahi ya walamba asali ni mamluki tu wanaolipwa pesa ndefu kuja kupangua hoja na kuvuruga mijadala yenye muelekeo ya kuwanasua wananchi toka kwenye mitego ya kibepari na kupunguza ujazo wa asali wanayolamba, inafikia wakati hadi unajiuliza, huyu mtu anawaza kwa kutumia ubongo au anatumia makalio?![emoji2375]
Sisi tusiokwenda shule tumefuatilia,wewe una hoja ya msingi,na wao wana hoja ya msingi kulingana na wanachojua,tumechuja,mwisho imeonekana kuna kitu tunaweza kufanya.

Hili jambo linahitaji kiongozi mzalendo kama marehemu,sasa najiuliza hakuwahi kukijua hili? Kwa ninavyomjua kwanini hakuchukua hatua?

Anyway nimejifunza kitu kwa wote waliochangia huu mjadala.
 
Something you have missed or dont know;
All over the world insurance businesses are not monopolised by governments. Privatisation of insurance business has multiple benefits including job creation, fastness in serving customers (no bureacracy) while government remains a regulator (TIRA) etc.
Hizo premium zikienda serikalini kujenga sgr, compensation nani atalipa? Try to argue like someone who has seen books
Daah!...[emoji119][emoji119]
 
Third party insurance sio kodi Mkuu, labda mpaka Serikali ibadilishe sheria. Bima hii inamlinda mtu nje ya mkata bima na muuza Bima (ndio maana inaitwa third party). Gari linapita barabarani, kuna watumiaji wengine wa barabara kama magari mengine, waenda kwa miguu na miundombinu kama nyumba n.k. Hawa ndio wanalindwa na hiyo bima na sio mkataji bima. Kwenye situtation kama hiyo mkataji bima hana incentive ya kukata hiyo bima kwani haimlindi yeye na ndio maana ni compusory, ingekuwa ni hiari wenye magari wasingekata hiyo bima hivyo kusababisha niliowataja hapo juu (third parties) kutolindwa. Hao askari sio kwamba wanashurutisha bali wanafanya law enforcement ambalo ni jukumu lao la msingi, kuhakikisha sheria ya bima inafuatwa. Wazo lako kutaka Serikali ikusanye hiyo hela linazungumzika. Tatizo ni kwamba Serikali ina historia ya ku-mismanage biashara au aina yoyote ya makusanyo, mfano mzuri ni kwenye mifuko ya jamii. Ndio maana watu wako sceptical na hiyo idea.
[emoji120][emoji106]
 
Wazo zuri lakini nionavyo mimi Serikali ikiingia hapo makampuni ya bima ambayo wewe unapendekeza wawe mawakala tu ili pesa iingie serikali na wao wapewe comission hayo makampuni watashirikiana na wateja kufirisi huo mfuko wa bima maana watakuwa wakipeleka madai ya watu kulipwa kila day mpaka mfuko ufirisike
Kweli watahujumu,shida inakuwa ipo palepale
 
Something you have missed or dont know;
All over the world insurance businesses are not monopolised by governments. Privatisation of insurance business has multiple benefits including job creation, fastness in serving customers (no bureacracy) while government remains a regulator (TIRA) etc.
Hizo premium zikienda serikalini kujenga sgr, compensation nani atalipa? Try to argue like someone who has seen books
Huyu mleta mada ni wakupuuza tu, amekalia ubishi na kujifanya mzalendo bila kuruhusu kichwa kuelewa mambo asiyoyajua.
 
‘Third party’ ni kodi iliyofichwa kwenye bima, otherwise haipaswi kuwa compulsory, mtu aamue mwenyewe, ila so as long as traffic police wanashurutisha watu kulipa hiyo kodi, basi iende serikalini, na kama kuna third party basi atapeleka claims zake serikalini kupitia shirika la bima na atalipwa, makampuni ya bima yaoewe tu comission kidogo (10%) kwa kazi yao ya uwakala wa kukusanya kodi ya seriakali. Sheria zibadilishwe ku-accomodate na ku-adapt na wazo hili jipya kabisa, very radical idea and thinking! Thirdparty zote ni kodi ya serikali, ziende serikalini ili tupunguze kukopa kopa nje kama mataahira au wendawazimu!! Sheria ifanyiwe maboresho!!
You're a conservative sorry to say, uzalendo wa mdomoni bila kutumia akili ni sifuri. Watu wanakupa shule ila wewe umajikita kwenye ubishi tu bila kuwa na data.

Nakuongezea information nyingine, kampuni nyingi za bima kama sio zote (hapa Tanzania) ukiangalia vitabu vyao zinafanya hasara kwenye hizi bima za magari ila zinafidia kwenye bima zingine.

Kabla hujaja kuandika mada kama hizi, fanya research vizuri na uruhusu kichwa chako kuelimishwa
 
Kwani ukipata ajali ata usipopewa refund Kuna yoyote anaehusika Na Wewe? Kwann suala la bima lisibaki kama optional
Kama hii kodi ya ‘third party’ itabadilishwa kuwa optional then mimi sina tatizo, ila kwakuwa inalazimishwa, then si biashara, hakuna biashara ya kulazimishana, hii kodi ianze kuwasilishwa seriaklini
 
You're a conservative sorry to say, uzalendo wa mdomoni bila kutumia akili ni sifuri. Watu wanakupa shule ila wewe umajikita kwenye ubishi tu bila kuwa na data.

Nakuongezea information nyingine, kampuni nyingi za bima kama sio zote (hapa Tanzania) ukiangalia vitabu vyao zinafanya hasara kwenye hizi bima za magari ila zinafidia kwenye bima zingine.

Kabla hujaja kuandika mada kama hizi, fanya research vizuri na uruhusu kichwa chako kuelimishwa
Sasa kama biashara inaingiza hasara maana yake si unatakiwa uifunge au? Ukiona mtu anakupa mahesabu ya hasara halafu hafungi biashara maana yake kuna kitu anapata, hivi Tz kuna vyombo vya moto vingapi? Minimum compulsory third party fee ni kiasi gani, malipo kwa madai ya third party ni kiasi gani? Sasa hiyo hasara ni ya kuzimu au ya wapi? Sasa basi, kodi hii ya ‘third party’ inayoshurutishwa ianze kupelekwa serikalini, si haki kulazimisha raia kuchangia wahindi na wazungu matrilioni kila mwaka huku tukikopa kama mataahira watembea uchi..
 
Kweli watahujumu,shida inakuwa ipo palepale
Bahati nzuri Nimeshafafanua hili kwa kirefu kwenye post za nyuma. Ni muda muafaka sasa, serikali ikapokea kodi yake halali, ili waache kukopa kama mataahira waliorogwa kwa mara ya 6
 
Muda muafaka ndio huu sasa, kodi ya ‘Third party’ ianze kuwasilishwa serikalini
 
Kuwe na uhuru wa kulipa, ni mwaka wa nane nalipa bima kujaza matumbo ya watu
Na kama itaendelea kuwa lazima, basi pesa hii iende serikalini ila wakaongeze vitanda vya kujifungulia mahospitalini
 
Kuwe na uhuru wa kulipa, ni mwaka wa nane nalipa bima kujaza matumbo ya watu
Mkuu hujawahi kulazimishwa kukata bima ya afya, moto, safari, biashara au ya maisha, why? Kwa sababu athari za hizo bima ni ZA KWAKO WEWE na ndio maana kukata ni hiari. Bima ya gari licha kukulinda wewe na gari lako inawalinda pia watumiaji wengine wa barabara na miundombinu. Kama hutaki kukata bima kwa ajili yako na gari lako kuna option ya kukata THIRD PARTY INSURANCE. Maana yake ni kwamba kama wewe unaona hakuna umuhimu wa bima, sheria inataka watumiaji wengine walindwe, ndio maana ya third party insurance. Third party insurance haiwezi kuwa hiari. Mtu ambaye haoni umuhimu wa kukata bima yake mwenyewe ataonaje umuhimu wa kukata kwa ajili ya kulinda wengine? Ndio maana ni lazima.
 
Kwani nani kabisha hilo?! Tunachomsema ni kwamba hii kodi ya ‘third party iwasilishwe serikalini’ maana ni lazima na sio hiari, huwa hakuna kulazimishana kwenye biashara, na thirdparty yeyote atakaekuwa na madai atalipwa na serikali kupitia shirika la bima la taifa
 
Ni muda muafaka sasa kodi ya ‘third party’ ikaanza kuwasilishwa serikalini
 
Tunaaubiri kwa shauku kubwa kodi ya ‘third party’ kuanza kuwasilishwa serikalini
 
Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na ukitoa gharama za uendeshaji utaona inabaki kama trillion 3 hivi.

Sasa najiuliza, hii pesa tunayolazimishwa na matrafiki police huku barabarani kwamba ni lazima tulipe, inaenda serikalini na makampuni kubaki na comission tu au yote inaenda kwa haya makampuni ya Bima?!

==========================

Sasa ninachopendekeza ni hiki, bima zote za third party zilipwe serikalini kupitia wakala wa bima wa taifa, na malipo yatafanywa na wakala huyo kwa hao third party. Hayo matrillion yakaboreshe huduma za elimu, afya na miundombinu. Ifike mahala tuache kukopa wakati matrilioni yanabebwa na hawa wenye makampuni ya bima tena ni wageni, wanaenda kuwekeza kwao huko. Pendekezo ni hilo, sheria husika zirekebishwe ku-accomodate mtazamo huu mpya, na radical kabisa!
Bima ni kama pyramid schemes nyingine tu ... hawa mawakala.. ni mawakala wa mawakala... wa mawakala.. unakuta hela ya mwisho inaishia kwa makampuni ya nje mengi ni toka marekani kama jpmorgan AIG etc
Serikali hapo inashikilia kodi na securities
 
Ndio tunapendekeza sasa, kodi ya ‘third party’ iwasilishwe serikalini
 
Back
Top Bottom