CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanajizima data hawataki kuukubali.
Huyo Samia si mtu mbaya kiivyo, ila jumna bovu linamuangukia kwakuwa yeye ndio mwenye mamlaka yote, lakini kuna wafanya maamuzi zaidi yake.
Hata hizo asilimia 97 za kura simini kama ni Samia alitaka apewe ushindi huo, bali ni kundi lavwajinga wenye maamuzi kwenye nchi hii ndio walifanya hiyo.
Kwanza, acha kujifanya unajua sana historia wakati unaweka ushabiki mbele. Unapodai maumivu wanayopitia wananchi sasa hivi ndio Wapemba walipitia kila uchaguzi wa nyuma, unapaswa kujua kuwa hata wakati huo tulikemea na kulaani ukatili huo! Labda hukujua kwa sababu zamani hakukuwa na mitandao ya kijamii kama JamiiForums au hii ya sasa kufikisha sauti zetu. Tofauti ya wakati huo ni kwamba waandishi wa habari wa nje waliruhusiwa kuingia, watu waliona kila kitu live, na mashirika ya haki za binadamu yalitoa ripoti waziwazi.Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Kwani unalazimishwa kufungua thread zangu na nikifuatiliwa na boss wangu wewe kinakuwasha nini. Pumbavu.Hutaki kufatiliwa utoke.
We mwenyewe unahangaika kutaftiza vihabari ili ufuatiliwe na Boss wako aone tupo tunaokufatilia
Kwanza, acha kujizima data na kutafuta visingizio vya kitoto ili kumsafisha mtu mwenye mamlaka kamili ya nchi. Unapodai anaangushiwa 'jumba bovu' na kwamba kuna wafanya maamuzi wengine, unajisahau kuwa kikatiba yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Nchi. Hakuna 'kundi la wajinga' linaloweza kumpachika mtu ushindi huo bila yeye mwenyewe kuridhia.Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanajizima data hawataki kuukubali.
Huyo Samia si mtu mbaya kiivyo, ila jumna bovu linamuangukia kwakuwa yeye ndio mwenye mamlaka yote, lakini kuna wafanya maamuzi zaidi yake.
Hata hizo asilimia 97 za kura simini kama ni Samia alitaka apewe ushindi huo, bali ni kundi lavwajinga wenye maamuzi kwenye nchi hii ndio walifanya hiyo.
relax bas na upunguze makasiriko na mihemko nonsense jukwaani na itapendeza zaidi, okay gentleman?πUsinipangie cha kuandika we *****, mimi siandiki kukufurahisha wewe jinga kama unataka thread za kukufurahisha nenda kwa Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa mkabubujike machozi. Pambaf la kike.
Mimi huwa nampokea mtu jinsi anavyokuja akija kichokochoko au off point namjibu kichoko.relax bas na upunguze makasiriko na mihemko nonsense jukwaani na itapendeza zaidi, okay gentleman?π
ok,Mimi huwa nampokea mtu jinsi anavyokuja akija kichokochoko au off point namjibu kichoko.
Kamwambie mkeo akae kimya. Nimekustahi. Kama amekuachia zamu tuendelee.ok,
kaa kimya bas na uache kuropoka ropoka na itapendeza zaidi.
na mbona hata huna point lakini una makasiriko sana gentleman?π
imetoweka kama mawingu ya el nino.!Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Ok.Kamwambie mkeo akae kimya. Nimekustahi.
Nimeanzisha thread ili nitetee hoja yangu nikikaa kimya sitokuwa na maana ya kuanzisha thread.Ok.
kaa kimya bas mihemko na uropokaji unatosha sasa jukwaani gentleman, okay ?
tetea basi porojo yako bila mihemko na makasiriko na itapendeza zaidi gentleman.Nimeanzisha thread ili nitetee hoja yangu nikikaa kimya sitokuwa na maana ya kuanzisha thread.
Wewe unamuona Samia yupo sawa kama zamani.
Ok pinga huo upotoshaji kwa hoja lkn ukija kwa matusi kwangu yamejaa kabati.tetea basi porojo yako bila mihemko na makasiriko na itapendeza zaidi gentleman.
hakuna haja ya kupotosha wadau wa Jf kwa porojo useless, sawa?π
I think they talking about some body else branding.πNyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Hapana! Bali wanaomsemasema Rais Samia. Wanafikiri wakisema vibaya ndio maisha yao yanakuwa na afadhali.Unamwambia Samia?