PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Elnino ipo mkuu
 
Mara nyingi watu na mazingira yanayokuzunguka ndio hubadilisha tabia ya mtu, ukitembea na wavuta bangi lazima utavuta. Samia hakuwa hivyo.
Absolute power corrupts absolutely.

Power and money can bring out your true colors.

A constitution for and by THE PEOPLE is the only solution to this madness.
 
Upo sahihi lkn unakumbuka kipindi hadi tukaanza kusema mama anaupiga mwingi, labda kama alikuwa ameficha makucha.
Kuhusu kuupiga mwingi…That I can call a “post Maghufuli syndrome”

She is who she is. By now we all know.

She’s just not happy that we now know who the real Samia is.

Katiba yetu inampa madaraka makubwa kama mungu mtu. Hivyo kuna nafasi ya kujionyesha haswa yeye ni mtu au kiongozi wa aina gani.

Katiba yetu inampa “absolute power”

So quit cutting her a slack and the buck stops with her.
 
Hilo la 29/10 ni mawazo yako, nachoona waswahili wamemzunguka na wanamshauri vibaya kwa maslahi yao. Wazanzibari wamemharibu, wamemfitinisha na wabara kwamba hawampendi na ukizingatia Samia ni mwanamke unategemea nini.
Ila ni ukweli mwaka jana waliopiga kura ni wachache sana, watu weusi bado sana kumkubali mwanamke, ht Marekani hawajawahi kuwa na Rais mwanamke mpk leo. Haya ni mafunzo kwamba tumtegemee Mungu, CCM haikuwaza km Magufuli angefia madarakani maana hata wao CCM hawakuwahi kuwaza Samia angekuja kuwa Rais ni wamejikaza tu! Ni funzo kwamba anayeteuliwa makamu wa Rais ni Rais wa akiba.
 
Kama anajua maadui wake wapo nyuma yake kwanini anaangaika na vyama vya upinzani kuvipiga Pini na kwanini anatoa mipasho sana kwa WANANCHI huyu mama ndio yeye alisema waliandamana wanatokea mipaka ya nje ya nchi na wengine wa hapa wamelipwa hela kuandamana, ndio huyu huyu pia alihamasisha rushwa kwa kauli yake ile ya kula lakini msivimbiwe tena kaongea kwa wazi
 
Ngoja aje hapa Tilaatilaah aseme ok , 🤣
 
Kilichonishangaza kwanini aende kisirisiri kwa CHIVAYO ,kwani kuna SHIDO ikijulikana?
 
Siku ya afcon lazima tukinukishe.Hatutakubali kuruhusu afcon wakati sa100 anaua watanganyika wenzetu kama polepole.
 
Soma vizuri coment uliyoijibu kuhusu Putin alisemaje kuhusu watoa maamuzi wa huko Marekani !
 
Watu wanavamia vituo vya polisi, kuua wapiga kura, unataka risasi za plastiki za kazi gani? Risasi za moto ndio ilikuwa halali yao
 
Unajua Kuna watu wameuliwa majumbani mwao unataka kuniambia ni taadhari ya aina gani hiyo unamfuata mtu nyumbani kama hakukuwa na dhamira hiyo? Kuna wengine ni watoto, wazee na wa mama wameuliwa ni kundi ambalo ni dhaifu hawana madhara yoyote ya kusema wazuru polisi ndio maana tunasema ni mauaji yaliopangwa. Kuna baadhi waliohusika na kuandamana walikamatwa vipi polisi waliohusika na kujua raia wema wamewajibishwaje umewahi kujiuliza hivyo?
 
Sasa hivi naweza kukwambia kuwa tatizo letu haliishii kwa u-Tanganyika wetu na u-zanzibari wao; na wala haliishii kwa u-CCM wao na u-chama wa wengine wote.
Bali tatizo letu linaishia wapi Mkuu ?
Nimeshindwa kuelewa hapo 🙏
 
Watu zaidi ya 10,000 wameuawa, je, urais una thamani kiasi hicho kuliko uhai wa mtu, tena asiye na hatia?
 
Kwa hiyo unafurahia kabisa mtu kupotezwa???
 
Mnakosea sana kuchanganya Dini na yote yaliyotokea !
Na hapo ndipo mnapozidi kuwagawa watu na bila kujua ndivyo mnavyozidi kufanya jambo hili lishindikane kupatikana ufumbuzi wake !

Msiingize Dini katika suala hili kwa sababu hatopatikana mshindi !
Vinginevyo watu watakuwa wanaicheza ngoma wasioijua ! 😳
 
Ndiyo.
Inawezekana hapa kuna matatizo ya replica human beings.
It is what is being whispered in my ears.
I am being told about duplicate human beings.
It seems fantastic because only the best of best intelligence agencies deploy duplicates.
 
Watu wanavamia vituo vya polisi, kuua wapiga kura, unataka risasi za plastiki za kazi gani? Risasi za moto ndio ilikuwa halali yao
Kabla ya Oct Serikali ya samia ilikuwa inaua na kuteka watu usiku na mchana hayo ya Oct 29 ni matokeo ya uovu wa wazanzibar na genge la raia feki ...kuna mashekh wwanatamka wazi kuchinjwa na kuua watu kabla na baada ya uchaguzi je umejua kwa nini hao mashekh awakamatwi ‽ ...ila gwajima katamka katiba mpya kafungiwa makanisa yote nchi nzima ...unadhani hayo mambo ni ya bahati mbaya...yupo shekh katamka hadharani kabisa mbele ya wakristo wa kanisa la mwamposa tena mbele ya rais kabisa kuwa wakristo wauliwe mbona akukamatwa..tupe fafanuzi ya haya matukio na logic yake...NA KAMA HAYO YALIYO FANYIKA MNAYASHANGILIA BASI MSIJE MKALIA NA KUSAGA MENO PALE ITAKAPO TOKEA BACKFIRE MAANA NI SWALA LA MUDA TU...SIKU ZOTE MPUMBAVU UJIFUNZA KWA MAJUTO NA UCHUNGU NA HASARA KUBWA SANA KWA SABABU UPRACTICE UPUMBAVU WAKE KWENYE MAISHA ...MAUAJI YANAYO FANYA NA SAMIA YANA..
1)UDINI KWA ASILIMIA 100٪ 2)YANA UZANZIBARI KWA ASILIMIA 100.
3)NA YANA URAIA FEKI KWA ASILIMIA 100%.

USHAHIDI UPO WAZI KABISA..KITU MNACHO TAKIWA KUNGOJA NI BACK FIRE YAKE MSIJE SIKU ZA MALIPIZI MKAANZA KULIA NA KUSAGA MENO...SHIKA HAYA MANENO YANGU.
 
Upo sahihi kabisa mauaji hayakuchagua dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…