Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

Kama kweli kesi ya Mbowe ni kutunga ,na walaaniwe wote waliohusika na wasipotubu eee Mwenyezi Mungu hatukupangii chakufanya utajua mwenyewe.
 
Ni swali technical sana kwa wanaojua sheria.unakuta swali moja kama Hilo linakuwa na majibu zaidi ya moja kutoka Kwa wakamataji waliokuwa pamoja.
inamsaidia nini angalia mahakama kuu wametupilia mbal;i na kesi ya mbowe
 
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.

Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.

1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?

Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.

Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
Kama maswali yao hayana msingi si ndipo pa kuwashindia hapo, woga wa nini?
 
Soma vitabu vya Permason&Francis Drake .Drake akiwa investigator na Mason akiwa wakili.sikumbuki mwandish ila Mason na Drake ndo main characters katika hizo novels. Kama umevisoma basi Kibatala na Mallya uhakika wamevisoma.Mungu bariki Tanzania.
 
tiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.

Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.

1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?

Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.

Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
Haya ndio yale mambo ya kukariri kitabu cha mapenzi kisha unaenda kutongoza kwa mtiririko wa hiyo hadithi uliyosoma, matokeo yake unafika mtiririko wa Kutongozana hauwi kama ulivyokariri.
 
Mbowe atatiwa hatiani sio kwa ushahidi, bali ni kwa maagizo ya rais na genge lake. Hapo hamna kesi bali ni utoto unaofanywa na wazee.
Niliwaza hivi ila nikahisi kwakuwa ikisikilizwa kwanza kesi ndogo katika kesi ya msingi nikaona bora niache kwanza, ila kwa hisia zangu naona kabisa Mh Mbowe uenda akatiwa hatiani lakini wanajaribu kuwahi asifikie huko na ndiyo maana wameenda kufungua kesi mahakama ya kimataifa kupinga kukatwa kwa Mbowe kama kulikiuka haki zake.
 
Unaleta ushabiki wa Simba na Yanga kwa mambo ya maana.
Amejibu maswali yako matatu kwa weledi na heshima kubwa! Polisi wako na mawakili wa serikali wangekupa majibu rahisi zaidi! Kimsingi mkuu, maswali yako ni meepesi sana, labda yana tosha kwenye ‘chekechea’ ya sheria, siyo mahakamani wala Hapa jukwaani!
 
Sina uhakika kama mleta uzi wewe ni mwanasheria. Kama wewe ni mwanasheria basi huko law school ulienda kucheza na kama wewe sio mwanasheria basi endelea kufuatilia hii kesi ili upate shule.
 
Ni ushahidi kwamba ni kesi ya kutunga, kama hawana msimamo wa pamoja wa walivyo kamata watuhumiwa!
Nadhani baadhi mmenisoma vibaya pamoja na kwamba nimeeleza mtazamo wangu kuhusu kesi hii ukoje. Angalia hata title ya uzi, nimetoa ushauri ili kesi iende haraka, Mbowe aachiwe huru mapema. Nikasema kwa uzito wa kesi, haiwezi kufutwa kwa sababu ndogo ndogo kama hizo za technicalities za ukamataji. Hii siyo kesi ya kuiba mayai.
 
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.

Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.

1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?

Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.

Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.

Hii huruma kwa kuku, mwewe alianza lini kuwa nayo?
 
Amejibu maswali yako matatu kwa weledi na heshima kubwa! Polisi wako na mawakili wa serikali wangekupa majibu rahisi zaidi! Kimsingi mkuu, maswali yako ni meepesi sana, labda yana tosha kwenye ‘chekechea’ ya sheria, siyo mahakamani wala Hapa jukwaani!
Na nyie hamjaelewa msingi ya maswali yangu. Ni mazito kuliko unavyodhani na majibu yake yana athari kubwa hata baada ya kesi baada ya mtuhumiwa kuachiwa huru.
 
Hii huruma kwa kuku, mwewe alianza lini kuwa nayo?
Tatizo wapinzani mnaamini wasiotakiwa kuaminiwa halafu wengine wenye nia thabiti ya kuwasaidia mnaona hawana maana. Angalia track record yangu kama nimewahi kuwa upande wa Serikali.
 
Wapi huko? Pakistan au Afghanistan? Kama ni Tanzania, basi ni wazi kuwa huna kumbukumbu kuwa Wilfred Lwakatare aliyekuwa mbunge wa Bukoba mjini amewahi kubambikiwa kesi ya ugaidi na ilipoenda mahakamani ujinga wa polisi ni kama huu unaofanyika sasa na mwisho wake ikawa NO CASE TO ANSWER na ikafutwa. Hii ya Mbowe inakwenda mwelekeo huu huu, ITAFUTWA TU...

Hakuna cha ukubwa wa kesi wala nini. Ni UONGO, HILA na VISASI VYA KISIASA tu kwa lengo la kukomoana. Kama wewe huoni hili, basi huo ni ujinga wako...

Labda yawe ni maamuzi ya baba yako wewe na siyo sheria kutaka ifanyike hivyo...!

Kama hamkutaka kufuata sheria, kwanini mko mahakamani by the way...?

Utakuwa ni ujinga sana kwenda mahakamani kutaka upewe haki kwa mujibu wa sheria lakini wewe hufuati sheria kuwatendea wengine...!

Umeshaambiwa na wengine hujui usemalo wala ulijualo kuhusu sheria wewe...

Nami nakazia hapo kuwa WEWE NI MJINGA wa taratibu za namna wakili apasavyo kutenda kazi SWAPO mahakamani...!!

Dhamana polisi na siyo mahakamani. Tukifika mahakamani ndipo tunacheza na nyie tukianzia na ufahamu wenu wa utendaji wenu polisi kwa mujibu wa PGO yenu..

Hapa tena unarudia ujinga wako uleule. Acha hizo bwana. Unajadiliana na watu wenye akili kuliko wewe!!

What's wrong with you?

Wewe kinachokuuma ni nini? Pilipili usioila inakuwashiani...?

Please, STOP THIS NONSENSE...
Natumaini haupo katika jopo la Mawakili wa Mbowe. Kama ni kesi ya kisiasa, inabidi mjue malengo ya kisiasa ya waliobambikiza kesi ni nini na nini lengo lao hasa la kesi, hilo ndiyo litawasaidia kujua mbinu sahihi za kutumia.

Mnampotezea muda mteja wenu kwa kukariri mbinu na taratibu za kushinda kesi bila kuangalia 'context'.
 
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.

Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.

1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?

Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.

Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
Mawakili hawajakosea. Hawaachi kitu. Lengo lao ni kuudhalilisha ushahidi. Ni tactic nzuri
 
Lengo namba moja la Wakili wa upande wa utetezi linatakiwa kuwa kumtetea mteja wao ashinde kesi na aachiwe huru haraka iwezekanavyo. Siyo showoffs na kuonyesha umahiri wao wa vitu ambavyo sana sana vinachelewesha tu kesi ya msingi kuanza kusikilizwa.
 
Back
Top Bottom