Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Mshana ukiwa kilingeni hapo Msata, ukisikia hodi chungulia ramli kabisa, ujue ni nani kabla ya kufungua mlango,

Yawezekana wameshadukua JF na kujua jina na makazi yako, na usvyoipenda CCM lazima wakulete ununio,
🥺🥺🥺🥺🤔🤔🤔🤔🤮🤮🤮🤮
 
Aisee mbaya sana mbona wanatishia watu namna hii aisee inakuaje wanaenda kuvamia ofisi za watu kirahisi rahisi namna hiyo ngoja tuendelee kuwashangilia na uvamizi wao ila ipo siku hakuna mtu ataweza kuvuta hata sigara tupo hapa watu watachoka na ujinga wanaoufanya kila kukicha.
 
Kujikweza au kutokujikweza ni fikra tu ya msomaji namna ambavyo ataamua kusoma comment na kuchagua upande wa kuziweka hasa ikiwa hakwenda na floo nzima ya majibizamo husika... Sikuandika kwa mazingatio ya hints za kujilinda ila nimeandika kama jibu kulingana na comment iliyopita ya huyo muhusika.

Lakini kama kuna namna yoyote hiyo comment yangu imekukwaza niwie radhi mkuu, coz intention yangu haikua kuelimisha wala kuonesha majivuno bali ilikua ni kujibu kulingana na floo ya hiyo convo yetu hapo kwa matarajio kwamba convo inaweza kuendelea zaidi ya hapo then maybe huko mwisho ndio tupate conclusion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…