Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
kuna mbinu za kujilinda, they wont find youSio siri hali sio nzuri kwa sasa tuchukue tahadhari zaidi members wenzangu haya mambo ya kukosoa wenye nchi wenyewe hawataki wanataka tuwadiscuss wakina diamond na the like..
Hali hii inaogofya sana. Sasa mfano kwenye hizo data wakakosea badala wamtarget member x wao wakamtarget member y si watamuua mtu asie na hatia maana hawa wasio julikana wanaonyesha kabisa sio watu wenye uweredi kihivyo wanapapara nyingi.
Tuendelee kuchukua tahadhari kwa kila member.
Wana mbunu za kizamani sana hawa jamaa.Wanataka Maxence Melo atoe data za kumkamata britanicca 🤣🤣🤣🤣🤣. Inaelekea anawaumiza kichwa sana.
Huyo jamaa ni tunu!Some time tuna muignore britanicca bila sababu aisee.
Alikuwa ana ku alert about hiyo attemptbritanicca what is going on mkuu dakika kadhaa hapa umemwita Melo PM
Bado hujasema 😂Liangalie na hili Certified Imbecile JamiiForums Member. Na usikute hata miongoni mwa hao Wavamizi wa Ofisi za JamiiForums lilikuwepo tena likiongoza Msafara kabisa. Mtani wangu wa Kihaya na Kaka yangu JamiiForums Founder Maxence Melo mijitu kama hii ikishajionyesha iko upande ule wa Waovu uwe unawafuta kabisa hapa.
Tatizo mtoto wa mjomba anapewa kitengo bila ya kuwa na ufahamu mwisho wa siku taasisi inaendeshwa kwa mfumo wa movie za James BondWana mbunu za kizamani sana hawa jamaa.
Ni watu wa manguvu nguvu tu bila akili.
Acha wogaAh we, mwenye jf anasakwa hajui kosa lake akiptikan mtu kam mm nakuaje salama?
Miyeyusho sana hawa jamaa, huzi scenes zao ni rahisi kwa huyo wamlindae kuchafuliwa kirahisi.Tatizo mtoto wa mjomba anapewa kitengo bila ya kuwa na ufahamu mwisho wa siku taasisi inaendeshwa kwa mfumo wa movie za James Bond
How mkuu?kuna mbinu za kujilinda, they wont find you
Atakuwa Abdul huyo.Dah. Poleni sana. Itakuwa Polepole huyo
Sasa km kuna uhuru mnawatafuta wa nini?Uhuru humu,matusi,uzushi,maandamano nchi hii siyo kitu kipya
TAIFA litangaze hali ya hatari shule vyuo vifungwe kwanzaOoo my God, kama my co-founder Maxence Melo anatafutwa bila shaka hata mimi wameweka rada juu yangu.
Acha nikuhahakikishie Melo kua utakua salama salmini, acha nije hapo kwako kukulinda.
Cc
Poor Brain
Intelligent businessman
Sasa mbona mnawafuata kwenye keyboard,kumbe keyboard zinawatoa udenda na manundu.Sawa keyboard fighter 😂
How mkuu?
Hohohoho do you know namna hackers wana cover their tracks?How mkuu?
Si mnamaliza watunza saver sio?Bado hujasema utasema tu.
Jf iliwahi kufungwa kabisa kipindi cha JK, baadhi tukahamia Kenya Talk.....KT.Naona unavyotetemeka
Wangepasi basi hata uniform.Msiogope tuendelee kushikamanaView attachment 3465644