Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Majitu maoga sana aisee yaani watawala usika wanawaona wanasema maiti ya miaka 4 nyuma hahaha tanzania ccm itaongoza milele Kwa watu waoga wa aina hii🤣🤣🤣🤣Kajasiri mchwala kanajificha kameshindwa kusemea waliopo kana mfuata marehemu
Deal of million dollars, kwishaaa
Ahahahah kwann shemu...Shemeji nimeishiwa pawa 😂😂😂
Mello akawatqje tu wanaotukana hapa JF, tumechokaNyie wapuuzi ndio maana mnabebwa kwenye malori kama mahindi, akili hamna..
Mafuriko yape njia yapite, huwezi kuzuia, utajenga ukuta lakini utabomolewa tu...
Wakati ukifika umefika..
Ni kweli, lakini tusikate tamaa..Ndugu YANGU USIJE Fanya jambo eti watz wako nyuma yako nakutadhaharisha stand at your own marehemu mengi aliwahi sema, wanasema tuko nyuma yako ukigeuka huwaoni
Deal of million dollars, kwishaaaaa
UnalombwaKenge mkubwa Wewe.
Itafika 2100 bado mtamlaumu jpmWalioiga uhalifu wa dhalimu magu ndio wako kwenye utekeleza wa walichojifunza kwa dhalimu yule.
Hakamatwi mtu, kutukana tutatukana, na kukosoa tutakosoa..Mello akawatqje tu wanaotukana hapa JF, tumechoka
Unakimbiza mwili poti unaacha rohoNgoja ni log out
Nyie JPM ameshafariki miaka imepita, unataka wakamfufue aje arekebishe makosa aliyofanya...Hebu tulia ww dogo.
Wazee wetu shida nini Tena wajameniUnalombwa
Wewe na yeye wote *******Samia hoyee sasa mlikuwa mnatukana ili iweje kwani uhuru wa habari ndio uhuru wa kutukana
USSR
ROGER THAT CHIEFHujaweza kuthibitisha kwamba si hadithi.
Sitaki kila mtu awe kama mimi, nataka tujue ukweli ni upi na hadithi za kuungaunga ni zipi.
Ukiamua kuamini hadithi nitatetea haki yako ya kuamini hadithi hata kama mimi siziamini.
Lakini tuzijue hizi ni hadithi za kuungaunga tu.
Una haki ya kikatiba na kibinadamu kuziamini hadithi hizo. Mtu yeyote akiingilia haki hiyo nitakusaidia kuilinda.
Mjeda wangu mamboNaona unavyotetemeka
PoaMjeda wangu mambo
Njoo in box kuna jambo nataka tuongee
🤣🤣Unakimbiza mwili poti unaacha roho
Kama wakikabidhiwa access tumeisha mana zile spana tuanzopigaga umu
Nitafute dawa za ganzi za puwmbu kudadek
Wako likizo😂TAIFA litangaze hali ya hatari shule vyuo vifungwe kwanza
Huyu anatafutaga sehemu ya kuchomekea neno JPM hata kama wanaongelea wana mtandao na ufisadi wao. Sijui alipofariki alimuacha na mimba!?😂Nyie JPM ameshafariki miaka imepita, unataka wakamfufue aje arekebishe makosa aliyofanya...
Au utawala uliopo ndio unapaswa kujirekebisha?
Mtamlaumu huyo mzee hadi lini? mtu kafariki bado hamumuachi...