Haaminishi chochote, yeye ameandika definition ya 'safety valve' kwa mujibu wa AI.Dude, hamna sehemu hicho unachotaka kutuaminisha kilipoandikwa. I rest my case.
Kiranga bado hujaweza kuonesha kwambaHii uliisoma wapi? Leta source ya kuvalidate post yako kwamba ukizuia watu wasitukane unawachochea wafanye mapinduzi ya nguvu.
Katika hiyo nukuu uliyoiweka hakuna sehemu inayosema wananchi wanaweza kuitukana Serikali ili kutoa frustrutions zao na hii ndio hoja uliyoanza nayo jana na ndiyo niliyokuambia uivalidate.Nimekuwekea nukuu ndefu ya Kiingereza.
Imefafanua kila kitu kwa namna ambayo sikufikiri nitahitaji kufafanua tena.
Ulivyonijibu ni kama vile hukuisoma au hujui Kiingereza kabisa.
Unajua Kiingereza?
Nisije kuweka maandiko marefu ya Kiingereza kwa mtu asiyejua Kiingereza.
Ulifuatilia mjadala tangu ulipoanzia?Haaminishi chochote, yeye ameandika definition ya 'safety valve' kwa mujibu wa AI.
Kukubali au kukataa ni uamuzi wako.
You are a troll.Kiranga bado hujaweza kuonesha kwamba
Katika hiyo nukuu uliyoiweka hakuna sehemu inayosema wananchi wanaweza kuitukana Serikali ili kutoa frustrutions zao na hii ndio hoja uliyoanza nayo jana na ndiyo niliyokuambia uivalidate.
Utakuwa mjinga kufuta ukweliUnafutaje mkuu?tusanuane jmn
Gateway ya George Soros and associatesTatizo Serikali Haijui.
Wakiendelea hivi ni simple tu, Operations zote za JF zita hamishiwa Nairobi.
Hapo ndo watajikuta wamepoteza ata hiyo control ndogo walio nayo
I will also put you in my ignore list so i wont be seeing your gabbageYou are a troll.
A troll that doesn't understand free speech.
I have no interest in debating trolls.
I have better things to do with my time.
Like, I am currently reading Abdulrazak Gurnah's "Gravel Heart".
Professor Gurnah's characters are more interesting that a garden variety JF troll.
I am putting you in my ignore list so I will no longer see your trolling.
From here onwards I will not see any of your posts.
Sawa tu hata enzi zile tulikimbilia KenyaHili ni angalizo tu, hapa nchini sio mahali salama sana kuripoti habari huru, wahuni wako serious mnoo. Kwa namna Msigwa alivyopata kiwewe cha ghafla na kupanic ghafla, inaashiria wahuni wamejipanga kikamilifu dhidi ya JF.
Kwa kuwa mahali pekee pa uhakika palipobakia kupata habari huru na uchambuzi wa kina ni JF basi njia salama kwa JF kuendelea kuwepo ni kufanya haya:
1. Kuwa na server nje ya nchi.
2. Kujiandaa na backup version ya JF nje ya nchi, hususani Kenya, Soutu Africa au USA.
3. Kinara wa huu mtandao, Melo asepe zake nje ya nchi.
Safari hii wahuni wamejipanga kukununua, wakishindwa basi watakutisha, ukiwa mbishi watakuteka au kukupoteza, ukiweza kukwepa hilo basi jiandae kufunguliwa kesi za uchochezi, uhujumu uchumi, ugaidi au uhaini.
Tena kama ww ukidakwa utachamandwa barabara.ww kila siku kukisema chamaTena si kidogo
Suggesting that, the container is opened?It's matter of time tu
Kila mtu atafikiwa
Genta ndiyo nani wewe mwehu?Hofu iliyokujaa na twisheni yako kwa Genta 🐼✔️
Wewe ni Bingwa wa kuandika riwaya nusunusu hujawahi maliza riwaya humu🤔
We are alive 🙏