Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kiukweli ndugu mwenzangu wa simba hata mimi nimechoka kushuhudia Team yangu pendwa simba ikipata ushindi wa mazabe yaani mpka mashabiki tunaona aibu kila mechi ni Red au penalty..Hivi wana Simba wenzangu kwanini wapinzani wetu mara nyingi wanadhoofishwa kwa kadi nyekundu au sisi kupewa penati? Nimefatilia toka kuanza kwa ligi paka leo karibu mechi zote lazima mpinzani wetu alimwe red card au tunapewa penati.. hii imekaaje wanasimba wenzangu
Namaanisha,ni halali?ndiyo penalt
Karibu mechi za timu zote huwa tunaona rafu za aina iyo ila ni kwa Simba pekee ndio huwa tunakuwa wanufaika wakubwa wa hizi penati na red card. Si umeona tayari tumepewa penatiKwanini wanacheza rafu sana ?
Una ka uchawi fulani hivi.Msijali Simba watakosa.
Kwamba wamepewa penalty?Penalt???? Wameanza kubwa tena
Kwahiyo wewe ungekua refa usingekua unatoa adhabu kwa makosa yanayofanywa na wachezaji.Kuna makosa ya kawaida yanayoonekana kwamacho ya mtu yoyote sasa labda utuambie wewe ni kosa gani lililohukumiwa isivyo stahili ili tujiridhishe kua simba inanufaika zaidi.Karibu mechi za timu zote huwa tunaona rafu za aina iyo ila ni kwa Simba pekee ndio huwa tunakuwa wanufaika wakubwa wa hizi penati na red card. Si umeona tayari tumepewa penati
nilisema kuhusu Bocco sikueleweka
Jamaa alishika kweliMnaoangalia,vipi ni penati??
Kumbe ule mpira ulimrudia Boko[emoji15][emoji15][emoji15]...jamaa km kweli anaipenda Simba ajiondoe kwenye timu aiseeSawa mmekosa penalty Ila BOCCO mmuangalie kwa jicho la pili, mpira umemurudi kaishia kutetemeka tu.
Haya sasahivi kasababisha faulo ya kijinga kabisa.
Yaani unamuacha nje kagere unamuweka Bocco Sub ya hovyoBocco ni **** tuu