Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Dah!
 
Ngoja tusimalize maneno..so far utopolo wako na advantage..but haijasha bado mpaka iishe..
Vipolo mwaka huu haviliki! Mpaka dakika za lala salama, mtaishia tu kujipa moyo. Ila kusema ule ukweli simba ya kupigania Ubingwa kwa msimu mwingine tena, haipo!

Timu ina mapungufu mengi ya kiufundi! Na kwa sasa inatembelea tu nyota ya umaarufu wake na baadhi ya majina ya wachezaji wake maarufu.
 
Simba akishinda leo naweka hapa, PICHA YANGU, KITAMBULISHO CHA KAZI, MAJINA KAMILI NA FAMILIA YANGU. Najua mtakuwa na MSHANGAO sana kwa kutoamini kuwa huyu mtu msumbufu humu ndani ndio huyu.
Hongera babra !!!umepona ....
 
Sikupingi..
 
Hutokaa ujue mpira milele😂😂
Kaa usubirie kulifukia gape la point 5 au 8 kabisa kama tutazingua kwenye kiporo.

Hii LIGI ya sasa ni competitive na mwenye presha sasa atakuwa ni Simba sc.

NB; Ubingwa wa Simba mpaka sasa unategemea kupoteza kwa Yanga Sc na sio ubora wa kikosi cha Simba Sc tena, ila kwakua umezidiwa na ushabiki hauwezi kuliona hilo.
 
WANASIMBA TUKIRI TU KUWA MWAKA HUU SIO WA KWETU..... HATUNA KIKOSI CHA USHINDANI.....WACHEZAJI HAWAJITUMI.......

YALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO...... LAKINI MSIMU HUU SI WA KWETU TUJIANDAE KISAIKOLOJIA.........

ALAMSIKI....
 
Haya haya mechi ishaisha, ile michango yetu kwa ajili ya uwanja iendelee, nina tenga zangu mbili za Nyanya na zifikisha vp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…