Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Huu uzi ulitakiwa ufungwe nilipoleta hii comment. Nilikuwa na full information kuwa Simba hawezi shinda iwe mvua iwe jua. Sema mkaleta utani sana. Kikosi kilitumwa kwenye group la Simba nikakiangalia na nikakiangalia cha Mbeya City, kisha nikarudi makazi yangu pale Mbalizi kuulizia wazee wanasemaje kuhusu kuinusuru hii timu na vipigo vya Simba, NIKAJIBIWA KUWA MECHI IMEISHA NA SIMBA HASHINDI.Simba akishinda leo naweka hapa, PICHA YANGU, KITAMBULISHO CHA KAZI, MAJINA KAMILI NA FAMILIA YANGU. Najua mtakuwa na MSHANGAO sana kwa kutoamini kuwa huyu mtu msumbufu humu ndani ndio huyu.
[emoji23][emoji23]hao watakua nzi sio nyukiWamepiga jiwe Kwenye Mzinga Wa Nyuki...!
Nipe matokeo mzeeMadokta tushatia maguu unyakyusani
Mbeya city wajichagulie bega
Sio bonanza la mapinduzi iloPhd prof.Pape Ousmane Sakho + Mwamba wa Lusaka =mwingi mpaka unamwagika.
Wacha weFT MBEYA CITY 0-3 SIMBA
Tapeli hakuna mchezaji apoKwani beki bora Verane leo hayupo hadi hao wanapata goli?
Unaota wewe mdadaDah...Mbeya City Wajanja Sana....Wameona Bora bao Lao la Kufutia Machozi Waliweke Kibindoni Kbs....! Kwa kuwa hakuna namna ya Wao kuendelea Ku contain pressure Ya Mnyama mpaka Mwisho.
AnaliajeMasikini Da Babra ameanza kulia
sasa apo si utakua umeondoa timu nzima mkuu?Kocha aache hasira zisizo na maana, ana panic mno.
Atulie mpira ndo ulivyo
Kuna wachezaji inabidi Simba iseme imetosha
Kibu
Kagere
Mugalu
Bocco
Mzamiru
Morrison
Mhiru
Bwalya
Wawa
Hawa waondolewe kwa manufaa ya timu
Swahiba makolo wa mdosi watakomaje leo!unasubiri kukuche tu hapoShukran mnoo 1954 ππ
Kocha aache hasira zisizo na maana, ana panic mno
sasa apo si utakua umeondoa timu nzima mkuu?
YALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO....! Imeisha hiyo, Mbio za Ubingwa Zipo Pale pale....! Aluta Continua!!
π€π€πKila la kheri Mtani. π