Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Pamoja na kadi ya mchongo lakini weKUNDU wa mSIMBAzi mmeshikwa pabaya... [emoji1787][emoji1787]
Huyu kocha wa makolo ni wa mchongo pale kati unawezaje kumuanzisha kanoute mzamiru na mkude...
Sema kadi itawabeba
 
Hatimaye muamala umesoma[emoji390] yule beki kucheza vile pale ilhali ana kadi ya njano...wahindi wanaharibu sana mpira [emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…